Mgombea moja wa upinzani Uganda

pmwasyoke

JF-Expert Member
May 27, 2010
4,593
2,978
Vyama vya vyetu vya upinzani vingejifunza kutoka Uganda ambako vyama vyote vya upinzani vimechuana na kumpata mgombea wao wa pamoja wa nafasi ya urais. Hivyo mgombea wa chama tawala anapambana na mgombea mmoja anayeungwa na vyama vyote vya upinzani. Hii nimeipata kwenya taarifa ITV. Au mnaonaje wana JF?
 
Mambo ya Africa, inabidi usifie mpaka uone imetokea. Utashangaa kipindi cha kuchukua form kuna watu wakajitokeza
 
mimi binafsi nasema hivi....wapinzani wangeungana...paSipo shaka yeyote kura yangu hii moja ingekuwa yao........ubinafsi wao,uchoyo wao,ulafi wao ambao unataka kujishibisha kila mmoja wao nd unasababisha CCM INAKUWA IMARA ZAIDI NA ZAIDI.....! PASIPO KUUNGANA HAKUNA USHINDI.......USHINDI UTABAKI KUWA NDOTO INAYOOTWA KILA BAADA YA MIAKA MITANO...THEY WILL NEVER...NEVER..ATTAIN IT...!
 
Back
Top Bottom