Mgombea huyu wa ubunge wa ccm alikuwa mzungu wa unga

George Maige Nhigula Jr.

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
470
149
Ndugu wana JF,

Kuna Tetesi nilikwisha wahi kuzisikia mda mrefu kuwa mgombea huyu wa ccm jimbo la ilala alikuwa DRUG LORD miaka mingi ya nyuma na alikwisha wahi kufungwa nchini ITALY, Ukitembelea vijiwe vyake pale kariakoo mtaa wa ndanda unaweza kuzipata hizi habari hususani kwenye kwa wauza mataili wa pale mtaa wa ndanda opposite na ofisi ya ccm ambapo kulikuwa na nyumba ya Mzee Paul Rupia ambayo Mwl Nyerere alikwisha wahi kuishi wakati wa mapambano ya uhuru.

Tunaomba watu waliopo hapo Dar wajaribu kufatilia hili swala, na watujuze zaidi, Na kama kuna mgombea yoyote wa upinzani tumpige tafu, kwanini mkoa wa Dar Es laam unakubali kuongozwa na wabunge wa aina hii? hata kama kuna mgombea wa CUF tuhakikishe tumpigie chapuo.

Nawakilisha hoja waungwana.
 
Attachments

  • mussa hassan zungu.bmp
    1 MB · Views: 185
Sipendi kujua ni nani unayemzungumzia katika tetesi yako...
Point ni kuwa kama tumefikia kuwa na viongozi wauza unga, majambazi etc. ndo maana kweli haishangazi kwa nini hii nchi sasa hivi iko hapa. uongozi sasa hivi umekuwa kwa wahuni wowote mradi awe maarufu na anayeweza kuhonga.. hii ni hatari na haraka tuwang'oe wapuuzi wa aina hii. Kwa hili hakuna kujali chama kama mtu hana sifa ya uongozi na si muadilifu yeye kama yeye , hana maana. Kwani at the end of the day tukiwachagua, wataturudisha hapa tulipo sasa.
 
Mumeanza na tetesi na sasa hivi tayari mumeconfirm kwamba alikuwa drug lord!

Kuna siku mtu atakuja wajibishwa humu kwa tetesi zake.
 
Sipendi kujua ni nani unayemzungumzia katika tetesi yako...
Point ni kuwa kama tumefikia kuwa na viongozi wauza unga, majambazi etc. ndo maana kweli haishangazi kwa nini hii nchi sasa hivi iko hapa. uongozi sasa hivi umekuwa kwa wahuni wowote mradi awe maarufu na anayeweza kuhonga.. hii ni hatari na haraka tuwang'oe wapuuzi wa aina hii. Kwa hili hakuna kujali chama kama mtu hana sifa ya uongozi na si muadilifu yeye kama yeye , hana maana. Kwani at the end of the day tukiwachagua, wataturudisha hapa tulipo sasa.
Huyu vipi na vimada?
josepheni1.jpg

slaa%26Rose.jpg

Bintimkongwe acha kututisha eti kuwajibishwa nani atatuwajibisha kama tunaona ubovu tusiseme.. Tutasema kuzidi kuwafichua wapuuzi wasitake kutuendesha kama gari lilokosa matairi.Asante Executive kwa taarifa muhimu. Kitaeleweka tu mwaka huu.
 
Mbona CCM kama wavu wa kuvulia samaki mtu na watu wa kila aina wanaruhusiwa
 
Executive, tafadhari epuka post kama hizi wakati huu kwani zinaweza leta tsunami. Mfano vapata majibu kama haya: kuna mgombea urais wa chama fulani alikuwa shoga; kuna mgombea urais wa chama fulani ni gabachori wa wake za watu: kuna mgombea urais wa chama fulani anajeshi la makomandoo waliopata mafunzo s.africa, egypt na pakistan: kumamgombea urais hana mke wala mtoto:...................... Jf hapatakalika.
 
Kuwa na Kimada tangu lini kukawa ni kosa la jinai???
Hebu msaidieni huyo bwana kutafuta skendo nyingine, maana inaelekea mpaka aingie kaburini atakuwa anakomalia hapohapo! Wakiitwa wana akili za mgando wanalalama!!
 
Ndugu wana JF,

Kuna Tetesi nilikwisha wahi kuzisikia mda mrefu kuwa mgombea huyu wa ccm jimbo la ilala alikuwa DRUG LORD miaka mingi ya nyuma na alikwisha wahi kufungwa nchini ITALY, Ukitembelea vijiwe vyake pale kariakoo mtaa wa ndanda unaweza kuzipata hizi habari hususani kwenye kwa wauza mataili wa pale mtaa wa ndanda opposite na ofisi ya ccm ambapo kulikuwa na nyumba ya Mzee Paul Rupia ambayo Mwl Nyerere alikwisha wahi kuishi wakati wa mapambano ya uhuru.

Tunaomba watu waliopo hapo Dar wajaribu kufatilia hili swala, na watujuze zaidi, Na kama kuna mgombea yoyote wa upinzani tumpige tafu, kwanini mkoa wa Dar Es laam unakubali kuongozwa na wabunge wa aina hii? hata kama kuna mgombea wa CUF tuhakikishe tumpigie chapuo.

Nawakilisha hoja waungwana.

10days left
bado ujachelewa akikiisha kama una ndugu jama na marafiki zako wa kinondoni basi waphimize wapigie upinzani ingawa samahan jamaa amejiimarisha si mchezo kama ni huo unga basi hela yake ameimwaga vizuri....
 
Hebu msaidieni huyo bwana kutafuta skendo nyingine, maana inaelekea mpaka aingie kaburini atakuwa anakomalia hapohapo! Wakiitwa wana akili za mgando wanalalama!!
Naona unajileta kasi, taratibu usije ukaukalia...
 
Ndugu wana JF,

Kuna Tetesi nilikwisha wahi kuzisikia mda mrefu kuwa mgombea huyu wa ccm jimbo la ilala alikuwa DRUG LORD miaka mingi ya nyuma na alikwisha wahi kufungwa nchini ITALY, Ukitembelea vijiwe vyake pale kariakoo mtaa wa ndanda unaweza kuzipata hizi habari hususani kwenye kwa wauza mataili wa pale mtaa wa ndanda opposite na ofisi ya ccm ambapo kulikuwa na nyumba ya Mzee Paul Rupia ambayo Mwl Nyerere alikwisha wahi kuishi wakati wa mapambano ya uhuru.

Tunaomba watu waliopo hapo Dar wajaribu kufatilia hili swala, na watujuze zaidi, Na kama kuna mgombea yoyote wa upinzani tumpige tafu, kwanini mkoa wa Dar Es laam unakubali kuongozwa na wabunge wa aina hii? hata kama kuna mgombea wa CUF tuhakikishe tumpigie chapuo.

Nawakilisha hoja waungwana.
jamani kwani watu huwa hawabadiliki?
,kama angekuwa anaendelea na hiyo biashara ndio ingekuwa NONGWA,
huenda alishaacha muda mrefu!,
tusiangalie ya zamani tuangalie kwa sasa yukoje!,binadamu tunatendancy ya kujirudi!
 
Haya labda huyo kajirudi, kuna mwingine anaitwa Mtengeti anagombea ubunge Moro kwa tiketi ya CCM ni MWIZI na bado hajaacha-inashangaza amepitishwa vipi kugombea!
 
ndo maana nasema ccm ni chama kinachoangamia Zungu ni muuza Unga, na wakazi wa Ilala wanajua, kuna Yule mwingine muua albino miko ya magharibi,. kuna fisadi Lowasa , Mzee waa Rombo, woote ni wanaccm
 
Back
Top Bottom