Mgombea CUF aanza kampeni ya mtu kwa mtu

mzee wa mawe

Senior Member
Aug 2, 2011
151
15
Akiingia katika awamu ya pili ya kampeni ya uchaguzi mdogo wa igunga Leopold Mahona katika vijiji viwili kabla ya kupanda jukwaani alisalimiana na kila mwanakijiji waliojikeza kwa wingi na kuwaomba kura zao.

Akiongea kwa kujiamini na kwa kiswahili fasaha amewaomba wanainchi wa igunga kumpigia kura ya ndio ili awe mbunge wao kwa kuwa anayajua matatizo yao kwa kuwa yeye amezaliwa hapo na kukulia hapo.

Hii ni kwa mujibu wa taarifa ya habari ya TBC.
 
Back
Top Bottom