Mgombea Chadema kujulikana leo, Nani kama Joshua Nassari?

Status
Not open for further replies.

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,148
103,550
MGOMBEA Ubunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kwa tiketi ya Chadema, anatarajiwa kujulikana leo, mara baada ya kumalizika zoezi la kupigiwa kura kwa wagombea saba ambao wamejitokeza kuchukua fomu.Katibu wa Chadema wilaya ya Arumeru, Totinan Ndonde, anasema wajumbe 1,100 wa jimbo hilo watashiriki kwenye mkutano mkuu maalum wa kuchagua mgombea.
Aliwataja wagombea ambao watachuana kuwa ni Joshua Nasari ambaye pia alishiriki uchaguzi uliopita, Anna Mughwira,Rebeca Mungwishi, Samweli Shamim na Godlove Tema.

Wengine ni Yohane Kimuto na aliyekuwa mgombea wa CCM na kumbwagwa katika kura za maoni ndani ya chama hicho, Mwalimu Anthony Musari.
Namba wagombea ni nzuri kudumisha ile dhana ya chama cha demokrasia, lakini cjaona kama Nasari, ndiye pekee mwenye ubavu wa kupambana na magamba. CHADEMA wapeni raha wameru, Mungu mbariki Nasari, Mungu ibariki CDM, Mung ibariki Tanganyika,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom