Elections 2010 Mgombea CCM afariki ghafla Arusha

Msharika

JF-Expert Member
May 15, 2009
947
69
Habari toka redio maria saa nne usiku huu, nimesikia mgombea udiwani kata ya nduruma amefariki ghafla baada ya maumivu makali ya kichwa tangu alipopitishwa na chama chake. Maumivu hayo yalisababisha alazwe hospitali ya Rufaa KCMC. Hadi mauti yalipomfika leo. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na kuipa fatraja familia yake katika kipindi hiki kigumu.
Je rais ataudhuria mazishi jumamosi ili apate huruma ya jamii?????????
 
Alikuwa na maumivu makali sana kwa muda wote Tangu alipopitishwa na ndipo akafariki licha ya huduma nzuri za KCMC
 
Alikuwa na maumivu makali sana kwa muda wote Tangu alipopitishwa na ndipo akafariki licha ya huduma nzuri za KCMC

Dahhh atakuwa alikuwa anawaza san a atatoka vipi akiukwaaa udiwani...pumzika kwa Amani mgombea
 
RIP- Bwana ametoa na bwana ametwaa. Ila naomba kujuzwa ni nini implication yake kwa uchaguzi wa kata ile? Ndo itakua kama enzi zileeeeeee.. za mgombea mweza CHADEMA?
 
Mwaka wa sheteni ama mwaka wa mauaji katika uchaguzi? Mwanza nako Katibu CCM alishwa sumu, watauana sana mwaka huu
 
Back
Top Bottom