Mgombea huru na mgombea binafsi, sioni tofauti yoyote.....labda tuwasubiri wajuzi wa lugha watufafanulie.
Mgombea huru na Mgombea binafsi ni kitu kilekile ispokuwa neno zuri zaidi ni mgombea huru ikiwa na maana hayuko under the control of any body or any party for that matter. connotative meaning ya neno binafsi inaweza kwenda mmbali zaidi. lakini hili likiwekwa rasmi kisheria na kupewa tafsiri kisheria lolote lafaa
hii nimeipoenda sana maana ina rejea nzurimkuu amavubi,mahakama ya rufani ya tanzania(katika kesi ya mwaka 2011 kati ya mwanasheria mkuu wa serikali na mchungaji christopher mtikila) ilisema kuwa ni vyema aitwe mgombea huru(independent candidate) na si mgombea binafsi(private candidate). Hoja ilikuwa ni kuwa 'binafsi' husikika kama itakayowafanya viongozi watakaopatikana kwa jinsi hiyo kuwa na viburi vya kiutawala nk
Namkumbuka Glanvile William anasema Language is a principle tool to any lawyer's tradeNadhani kisheria "huru" na "binafsi" haiwezi kuwa sawa. Maneno hayo mawili yanahitaji tafsiri pana zaidi ya kuwa tu misamiati ya lugha ya kiswahili.
na hii ya Independent Cnadidate mkuu?tatizo la direct translation hilo mkuu...anaitwa mgombea binafsi na kwa kidhungu ni "PRIVATE CANDIDATE"
na hii ya Independent Cnadidate mkuu?
In politics, an independent or non-party politician is an individual NOT affiliated to any political party. Independents may hold a centrist viewpoint between those of major political parties, or they may have a viewpoint based on issues that they do not feel that any major party addresses.hiyo umeleta mwenyewe mkuu...independet candidate inaweza kuwa na maana kuwa mgombea anajitegemea katika kila jambo kuanzia KAMPENI , USAFIRI na MENGINE YOOTE ya uchaguzi ila anweza kuwa bado yuko chini ya chama...........