Mgogoro wa kidini wafukuta habari copraration

Haya sasa nanyi pia mmeamua kushika mwenge wa udini na kuukimbiza kila sehemu.
 
Kama imani ya watanzania ilivopomorka kwa padre slaa na chama cha chadema kwa kuwa ni cha kidini. juzi juzi muasisi wenu Mtei alipiga kelele sana kuona wazanzibar wameongeza idadi ya waislamu kwenye kukusanya maoni ya katiba, inashangaza sana nyani haoni kundule

NA BOB MAKANI , katibu mkuu wa kwanza wa CDM alikuwa nani??? padre???
 
JK === Julius Kambarage . na kwa taarifa yako alieweka ilani ya CCM sio Jakaya Mrisho Kikwete (JMK) yeye aliikuta wamewaahidi na LAZIMA waitekeleze kama chama kilichopo madarani.

Tuwekee hapa hiyo ilani, je ilani ya chama siku hizi ni msaafu au biblia kiasi kwamba kama nyerere aliiweka Mwinyi na kikwete wameshindwa kuubadilisha...
 
Tuwekee hapa hiyo ilani, je ilani ya chama siku hizi ni msaafu au biblia kiasi kwamba kama nyerere aliiweka Mwinyi na kikwete wameshindwa kuubadilisha...

baada ya Mwinyi alikuja nani? na kabla ya Kikwete alikuja nani? na Ilani inatayarishwa wakati gani? Think LOUD !
 
NA BOB MAKANI , katibu mkuu wa kwanza wa CDM alikuwa nani??? padre???

Mwache Mzee wa watu apumzike kwa amani,. usimuingize katika comment yangu sijamtaja naongelea tamko la mmoja wa muasisi wa chadema mtei
 
Hao bado wamelala usingizi , siku wakiamka utajuta kwanini upo karibu nao! kwa sababu watajua haki zao na watazidai kama unaowaona hapa JF

hawa wa Jf pumba tu ni CCM damu wanaotaka kukaa kubaki madarakani hata kama taifa litabaki vipandevipande kwa msaada wa Usalama wa taifa imani yangu hawatafanikiwa tutapambana nao mwanzo mwisho
 
JK umepatia mkuu, JULIUS Kambarage Nyerere, ndio alianzisha udini TAnzania, bila aibu, alikaribishwa na waislmu Daresalama, alipopata urais, akasikiliza kanisa na kutekeleza yale ya kanisa, AKAUA UMOJA WA WAISLAMU EAST AFRICA kwa kumtumia Mkapa , baadae akamtunuku Mkapa urais mtoto muadilifu kwa kazi nzuri aloifanya ambayo mpaka leo waislmu wamekuwa wakidharauliwa na kuonewa! JKNyerere

Ama kweli shukurani ya punda ni mateke, kama siyo Julius Nyerere kutukumbuka hivi tungekuwa wapi kama siyo kubadili majina yetu yawe kama ya wamisheni ili tusome k.m (Mohamed kuitwa Bob) Nyerere alipo liona hilo akawanyanganya wamissioni shule zao ili tusome hali sisi tukiwa busy na madrsa.....

Hebu tufikie mahala tuwe wakweli na tutafakari kwa umakini tutoe jazba na ikibidi chuki za binafsi, na tukubali kubeba mzigo wetu wenyewe tusiwe tunabebesha mizigo watu wengine kufanya hivyo tunazidi na tunaendelea kujidhalilisha.
 
yale yaliyopo syria karibuni yatatufika,mmarekani anachekelea issue kama hizi muhimu kwake ni kuuza silaha kwa pande zote mbili zinazopigana,walibya kihistoria walikuwa watulivu kama wa tanzania walikuwa wanapigiwa mfano kuwa ni nchi tulivu yenye amani,angalia hali halisi waliyonayo sasa hivi,ukienda sokoni hujui kama utarudi,kwa kifupi(ni rahisi kuwasha moto kazi ipo kwenye kuuzima!,na inawezekana usizimike kabisa.)

kwa kuwakumbusha tu,wizara ya ulinzi nchini marekani imethibitisha kuongezeka uuzwaji wa silaha zake kati ya mwaka 2010-2012 kufikia dola bilioni 44 na silaha hizo nyingi ziliuzwa mashariki ya kati,jordan,israil,irak,kwa wanaopingana na serikali ya syria,na nyengine ziliuzwa japan na australia.

katika kufafanua ongezeko la uuzaji wa silaha za kimarekani nje ya nchi yao,walisema ni ubora wa silaha zao!

cha muhimu muliolala amani na utulivu ni mambo ambayo mmarekani mwenyewe kanyimwa na uthibitisho ni mwingi sana.
kazi kwetu baina ya amani au vurugu,maendeleo au umasikini,furaha au kilio.
 
tuzibe wa nini? wambie waache dhuluma kwa waislam vinginevyo watajibu kwa gharama kubwa. Udini ulikuwapo tangu ulipohasisiwa na Julius Kambarage Nyerere kwa kuwanyima haki waislam waliomkaribisha kuongoza harakati za uhuru., baada ya uhuru akawatupa pembeni na kuwanyima fursa. Waislam wa enzi hizi sasa wanajua kila kitu kilichofanyika huko nyuma, sasa hawako tayari tena kuona dhuluma inaendelea (Allah amewakataza waislam wasidhulum wala wasikubali kudhulumiwa. Sasa hatukubali tena, iwapo kuna mtu anaitakia mema nchi hii, awaambie wakristu waache dhuluma za kitoto (zilizowazi kabisa)

Kweli uislam ni janga kubwa mlianzia kwenye mihadhara sasa shida ndio hii natamani kuhama TZ isije ikawa kama nigeria ya boko haram,namwomba sana rais wetu akemee hili kwa ukali sana kama alivyofanya Nyerere ndio maana hizi chokochoko hazikuwepo la sivyo nakosa imani na KIKWETE.
 
EEeeh Mungu tuokoe na hili janga la udini coz kwa comment hizi ninazoziona humu za ni waz kuwa huu udini saa hizi ni tatzo haswa bado tu halijalipuka lakn moshi ushaanza KUFUKA,

Tuweni makini jamani kumbuka kabla ya kuwa muislam au mkristo sss wote ni binaadam na wote tunamwamin na kumwabudu mungu mmoja, ukristo au uislam ni namna tu za kumwabudu naamin kwa iman yangu kuwa hata yeye hapend tuchukiane kwa sabab ya dini ambayo ni njia tu ya kutufikisha kwake.

TAFAKARI NDG.......
 
Hivi tunaelekea wapi mda huu?au itakuja kama mambo ya sudan? Maana tuendako siyo pazuri,kwa hali hii nchi itagawanyika mara mbili waislam na wakristu tatizo litakuja je wapagani watakuwa upande gani?
Jahannamu!
 
Mimi naona kuvumiliana katika dini imekua tatizo kubwa kwetu, kwa mfano juzi nilikuwa nafuatilia thread iliyopewa jina la BAKWATA kutoa tamko la kugomea sensa kusipokuwa na identity ya dini, maelezo yalitoa hoja za waislam. Hata kama mtu aliziona ni dhaifu mimi nilishangazwa na lugha inayojeruhi hisia za waislam kwa mfano ..hawa watazidi, waende Iraq, hawana akili, viongozi wao hawaja soma n.k Kwa mtindo huo tusitegemee kunyamaziwa kimya eti waislam wafurahie na kuona tuna busara. Humu jf kuna watu wengi wana revolutionary ideas nami nilikuwa pa1 nao na wanaonesha itikadi za Chadema, cha ajabu ni hao hao wanatukana waislam na kujeruhi hisia. Inanifanya nione uhusiano wa chama na udini. Generally speaking kuna watu wanajona kuwa ni very superior na ku ignore imani ya wenzao, ukiwa ofsini unaplay kwaya, au sherehe ikifunguliwa na mchungaji, mgeni rasmi anaingia kwa kwaya its ok, jaribu kufanya kitu cha kiislam uone jinsi wanavyo kuchalenge very directly. Na sisi pia ni watu na tunaona mnavyo asume kama hatupo.
 
Kweli uislam ni janga kubwa mlianzia kwenye mihadhara sasa shida ndio hii natamani kuhama TZ isije ikawa kama nigeria ya boko haram,namwomba sana rais wetu akemee hili kwa ukali sana kama alivyofanya Nyerere ndio maana hizi chokochoko hazikuwepo la sivyo nakosa imani na KIKWETE.
Ulevi wa bangi, noomaaa.
 
tuzibe wa nini? wambie waache dhuluma kwa waislam vinginevyo watajibu kwa gharama kubwa. Udini ulikuwapo tangu ulipohasisiwa na Julius Kambarage Nyerere kwa kuwanyima haki waislam waliomkaribisha kuongoza harakati za uhuru., baada ya uhuru akawatupa pembeni na kuwanyima fursa. Waislam wa enzi hizi sasa wanajua kila kitu kilichofanyika huko nyuma, sasa hawako tayari tena kuona dhuluma inaendelea (Allah amewakataza waislam wasidhulum wala wasikubali kudhulumiwa. Sasa hatukubali tena, iwapo kuna mtu anaitakia mema nchi hii, awaambie wakristu waache dhuluma za kitoto (zilizowazi kabisa)


Etario napata shaka kuhusu akili yako. Madaraka hayapewi mtu yeyote bali ni yule mwenye sifa na mojawapo ni elimu. Wakati nchi inapata uhuru ni akristo wengi walikuiwa na elimu. Chanzo cha waislamu wengi kutokuwa na elimu ni waliozileta dini hapa nchini. Waarabu walileta dini wakajenga misikiti na madras wakati wazungu wao walileta ukristo wakajenga makanisa, shule na hospitali.

Tunataka hata kama hamna sifa tupewe tu nafasi? je sasa hivi tunachukua hatua gani kusahihisha ili kizazi chetu kichajo kiwe na elimu. Tunajenga shule ngapi, vyuo vikuu? hospitali? wakristo wanapojenga shule na vyuo vikuu sasa hivi wanapewa hela na serikali au ni sadaka wanazotoa? kwa nini hatufanyi hivyo waislamu wenzangu?

Nina hakika hata tukipewa shule vyote na vyuo vikuu walivyo navyo wakristo sasa hivi, baada ya miaka kumi vingi vitakuwa havipo na wakristo watakuwa wana vingine vipya kutuzidi

Waislamu wenzangu tuache kulalamika, tujipange!
 
Rai yangu JF inaweza kabisa kuepuka hii chuki ya kidini inayoendelea, na kama itazidi kuruhusu hivi basi chuki na sumu ya udini itasambazwa na mwisho wake kuchapana makonde, viboko mpaka risasi, ni wajibu wa MODS wa JF wakiona uzi wowote uliokaa kidini waublock mara moja,

NAdhani dhamira ya JF ni nyingine ila kuna baadahi ya watu hupenda kubeza imani za dini za wenzao hasa wenzetu wakristo, kitu kidogo basi wanarukia kejeli na matusi mpaka ya nguoni ambayo mtu unashindwa kuvumilia unaanza kujibu na kujikuta umo ndani ya majibizano!

Hili halifai na halikubaliki! kitu cha udini kikijalidiliwa nje na kiachwe ! nadhani hili la kujadili humu linazidi kuchochea chuki na mwisho tunaelekea kubaya zaidi...

Nawakilisha!

Kwa akili yako umeongea jambo la maana!

Wakati unasema Padre Slaa amefanya A,B,C kulikuwa kuna muingiliano gani wa Upadre na yaliyomo kwenye mada hii hadi sasa hivi ujifanye wewe ndio una busara saana!

Ukiwa na akili utagundua wapumbavu wote huwa hawaishii hapa, huenda hadi kwenye majukwaa wakafanya mihadhara ya kuwasema wenzao mpk kufikia kwenye nguo. Mara ngapi majukwaani imetamkwa kuwa wanaume wa Kikristo hawatahiriwi? Au hiyo sio ndani ya nguo.

Na mimi binafsi huwa halinisumbui kwa kuwa najua nilitahiriwa kwa mujibu wa tamaduni za kabila langu na afya na uume wangu ni siri yangu na yule ninayemuingilia. Ikifikia mropokaji wa majukwaani akayajua ya ndani ya nguo yangu basi kuna mawili: 1. Niliteleza nikabandua mmoja kati ya wake wengi aliooa kiasi hawezi kuwahudumia au 2. Mropokaji ndio wale maanti wa magomeni sababu huko nako nimeshawahi kubandua
 
Back
Top Bottom