Mgogoro wa Eng. Muhando na mabosi wake: Siri yafichuka, anaeimaliza TANESCO NI JK

Naisikitikia JF inageuka kuwa kijiwe cha udaku
Ukiona hivyo unaweza kujitoa, lakini usiite hii habari ni UDAKU inawezekana ikawa na ukweli ndani yake kulingana na hali halisi ilivyo kiuendeshaji wa shirika hili ila kama ni uongo lete utetezi wako tukuelewe usiishie kuita habari hii ni UDAKU.
 
Sasa naanza kuamini kwamba mhando ni mwizi na kwa maana hiyo naendelea kuprove kuwa nchi hii kila mtu ni fisadi.
 
Habari yenyewe mbona haina mshiko.
Uongo upo hapa:
-Bei ya Puma Tshs 1500. per litre
-Puma 50% owned na serikali
-Mhando aliipiga chini Puma
-Akanunua kwa makampuni swahiba Tshs 1900

Sasa mtoa mada na TSS wako, hebu tutoe tongo tongo, JK anafaidika vipi hapokwa kumtosa Mhando.
Yaani serikali imeanzisha shirika la kuingiza mafuta ili kuwauzia Tanesco. I mean hivi Puma shirika linalomilikiwa na serikali lingefuata lingeingia vipi ktk hizi tender ingewakilisha vipi maombi yake kwa serikali ambayo ni wao serikali..Hivi Mtera nao wanawauzia Tanesco umeme au?..
 
Kwa issue ya kuipa kampuni ya mke contract ya mil 800 bila ku-declare interest jua basi hapo ni pagumu. He is tupid!! Dhaifu of course!!
 
Wana JF,

Taarifa za kiintelijensia toka kwa wanaTISS wachache waliobakia na uzalendo kwa taifa lao zinsema, Rais wetu JK ndiye aliyetega mirija kila kona kuhakikisha anachota kila kinachoingia Tanesco.

IKO HIVI:

Mtakumbuka vizuri kuwa kampuni ya Richmond ilitengenezwa mikononi mwake huku akimtumia Lowassa kufikisha ujumbe Tanesco. Mambo yalipoharibika alimtoa kafara rafiki yake. Japo Lowassa amejigamba mara nyingi kuwa hawakukutana barabarani, ukweli ni kuwa bado hamjui vizuri swahiba wake.
Mgogoro uliopo Tanesco baina ya Muhando na wakuu wake ni wa kutengenezwa ili kuwaokoa katibu mkuu bwana Maswi na waziri wake Prof. Muhongo. Pamoja na kwamba Muhando ametengeneza tenda aliyompa mkewe hiyo si ishu kubwa kwa kuwa vifaa kweli vitakuwa supplied ila deal alilopiga katibu mkuu la kuingia mkataba Puma Company Ltd (zamani BP) ambayo haina sifa na pia kufanya kinyume na sheria za PPRA simply because JK anahisa hukoa ndiko kulikokuza ishu ya mhando ili atolewe kafara uma usiangalie deal hilo lenye thamani ya bilioni 26.
Ukweli ni kwamba wabunge wakiamua kukomaa JK bye bye. Lakini taarifa zinasema JK amemwagiza Pinda kuhakikisha anawaziba midomo wabunge wote wazalendo. Taarifa zinasema Anne Kilango ameingia laini na katika moja ya vikao vyao vilivyoongozwa na Pinda alisimama kidete kutetea kuwa joja hii ikijadiliwa bungeni serikali na chama chao cha CCM vitaanguka!
Aidha taarifa zinazidi kusambaa kuwa JK ametoa maagizo kwa viongozi wa wizara ya nishati na madini tangu wakati wa Ngeleja kuwa hakuna kutumia gesi kwa ajili ya kuzalisha umeme badala yake majenereta yatumie mafuta mazito ambayo asilimia kubwa yatatoka GAPCO ambako yeye anahisa tangu akiwa waziri.Swali la msingi; Kama gesi imetoka all the way from mtwara to ubungo, mafuta ya nini?
Aidha Tanesco hulazimishwa kutengeneza mgao feki ili bwana mkubwa achote chake. Isitoshe maajabu mengine ni kwamba Tanesco wameingia mkataba na kampuni ya Ridhiwani ya kuleta nguzo za umeme toka Afrika Kusini na si Iringa tena. Yapo mambo mengine mengi tangu Richmond, DOWANS, Symbion na haya ma-IPTL, Agreko n.k ambayo JK anayajua vema lakini ameendelea na roho ngumu ya kuwanyonya watanganyika.

Ombi langu kwa Mungu, Avuruge nchi hii ili tuanze upya.
Wana bodi mnasemaje?

Halafu baada ya hapo hao Tiss wazalendo wakaenda kumteka nyara Daktari fulani kwa sababu amefunga Solar kwake hivyo hatumii umeme wa Tanesco.
Hii inadaiwa kumkosesha JK mapato. Ho, hum!
 
Yaani serikali imeanzisha shirika la kuingiza mafuta ili kuwauzia Tanesco. I mean hivi Puma shirika linalomilikiwa na serikali lingefuata lingeingia vipi ktk hizi tender ingewakilisha vipi maombi yake kwa serikali ambayo ni wao serikali..Hivi Mtera nao wanawauzia Tanesco umeme au?..
Mkuu Mkandara, Puma ni kampuni iliyonunua hisa zote za kampuni ile ya British Petroleum(BP), kampuni ambayo imefanya biashara ya mafuta yote na vilainishi(lubricants) kwa muda mrefu sana hapa nchini.

Serikali ya TZ ilikuwa na hisa katika BP, na hisa hizo zilibakia pale pale ilpoingia Puma.
Katika sakata hili mimi sioni ajabu, and actually nawapongeza serikali kwa kununua mafuta Puma, hivyo kuokoa Tshs 400 kwa kila lita.
That does not need one to be a rocket scientist to figure out.

In actal fact sisi laymen tungependa kujua motivation behind kwa uongozi wa TANESCO kununua mafuta hayo hayo kwa bei kubwa, kuliko ile bei poa ya Tshs 1500/- kwa lita kutoka Puma.
 
Banandugu Olewao, Hata kama humpendi JK kabisa kabisa usionyeshe hisia zako kwa njia hii. Hao TISS unaosema hawawezi kuwa TISS bali vibaraka wa kiongozi ambaye ana chuki na JK.
 
Wana JF,

Taarifa za kiintelijensia toka kwa wanaTISS wachache waliobakia na uzalendo kwa taifa lao zinsema, Rais wetu JK ndiye aliyetega mirija kila kona kuhakikisha anachota kila kinachoingia Tanesco.

IKO HIVI:

Mtakumbuka vizuri kuwa kampuni ya Richmond ilitengenezwa mikononi mwake huku akimtumia Lowassa kufikisha ujumbe Tanesco. Mambo yalipoharibika alimtoa kafara rafiki yake. Japo Lowassa amejigamba mara nyingi kuwa hawakukutana barabarani, ukweli ni kuwa bado hamjui vizuri swahiba wake.
Mgogoro uliopo Tanesco baina ya Muhando na wakuu wake ni wa kutengenezwa ili kuwaokoa katibu mkuu bwana Maswi na waziri wake Prof. Muhongo. Pamoja na kwamba Muhando ametengeneza tenda aliyompa mkewe hiyo si ishu kubwa kwa kuwa vifaa kweli vitakuwa supplied ila deal alilopiga katibu mkuu la kuingia mkataba Puma Company Ltd (zamani BP) ambayo haina sifa na pia kufanya kinyume na sheria za PPRA simply because JK anahisa hukoa ndiko kulikokuza ishu ya mhando ili atolewe kafara uma usiangalie deal hilo lenye thamani ya bilioni 26.
Ukweli ni kwamba wabunge wakiamua kukomaa JK bye bye. Lakini taarifa zinasema JK amemwagiza Pinda kuhakikisha anawaziba midomo wabunge wote wazalendo. Taarifa zinasema Anne Kilango ameingia laini na katika moja ya vikao vyao vilivyoongozwa na Pinda alisimama kidete kutetea kuwa joja hii ikijadiliwa bungeni serikali na chama chao cha CCM vitaanguka!
Aidha taarifa zinazidi kusambaa kuwa JK ametoa maagizo kwa viongozi wa wizara ya nishati na madini tangu wakati wa Ngeleja kuwa hakuna kutumia gesi kwa ajili ya kuzalisha umeme badala yake majenereta yatumie mafuta mazito ambayo asilimia kubwa yatatoka GAPCO ambako yeye anahisa tangu akiwa waziri.Swali la msingi; Kama gesi imetoka all the way from mtwara to ubungo, mafuta ya nini?
Aidha Tanesco hulazimishwa kutengeneza mgao feki ili bwana mkubwa achote chake. Isitoshe maajabu mengine ni kwamba Tanesco wameingia mkataba na kampuni ya Ridhiwani ya kuleta nguzo za umeme toka Afrika Kusini na si Iringa tena. Yapo mambo mengine mengi tangu Richmond, DOWANS, Symbion na haya ma-IPTL, Agreko n.k ambayo JK anayajua vema lakini ameendelea na roho ngumu ya kuwanyonya watanganyika.

Ombi langu kwa Mungu, Avuruge nchi hii ili tuanze upya.
Wana bodi mnasemaje?

Hii imekaa kisiasa zaidi, aliyepika kafanya haraka kupakua. Kajipange urudi tena hoja dhaifu.
 
Kwa hasira wananchi walizonazo sasa hivi lolote litakalosemwa juu ya JK hata kama kasingiziwa tutajua ni kweli tu kwani kawalaghai watz sana na hatuna imani naye tena!
 
Mh, apa hata unene kwa lugha, inatupa shida kuamini ni roho wa kweli au ni yule wa manabii wa uongo!
 
Mh, apa hata unene kwa lugha, inatupa shida kuamini ni roho wa kweli au ni yule wa manabii wa uongo!
 
Wana JF,

Taarifa za kiintelijensia toka kwa wanaTISS wachache waliobakia na uzalendo kwa taifa lao zinsema, Rais wetu JK ndiye aliyetega mirija kila kona kuhakikisha anachota kila kinachoingia Tanesco.

IKO HIVI:

Mtakumbuka vizuri kuwa kampuni ya Richmond ilitengenezwa mikononi mwake huku akimtumia Lowassa kufikisha ujumbe Tanesco. Mambo yalipoharibika alimtoa kafara rafiki yake. Japo Lowassa amejigamba mara nyingi kuwa hawakukutana barabarani, ukweli ni kuwa bado hamjui vizuri swahiba wake.
Mgogoro uliopo Tanesco baina ya Muhando na wakuu wake ni wa kutengenezwa ili kuwaokoa katibu mkuu bwana Maswi na waziri wake Prof. Muhongo. Pamoja na kwamba Muhando ametengeneza tenda aliyompa mkewe hiyo si ishu kubwa kwa kuwa vifaa kweli vitakuwa supplied ila deal alilopiga katibu mkuu la kuingia mkataba Puma Company Ltd (zamani BP) ambayo haina sifa na pia kufanya kinyume na sheria za PPRA simply because JK anahisa hukoa ndiko kulikokuza ishu ya mhando ili atolewe kafara uma usiangalie deal hilo lenye thamani ya bilioni 26.
Ukweli ni kwamba wabunge wakiamua kukomaa JK bye bye. Lakini taarifa zinasema JK amemwagiza Pinda kuhakikisha anawaziba midomo wabunge wote wazalendo. Taarifa zinasema Anne Kilango ameingia laini na katika moja ya vikao vyao vilivyoongozwa na Pinda alisimama kidete kutetea kuwa joja hii ikijadiliwa bungeni serikali na chama chao cha CCM vitaanguka!
Aidha taarifa zinazidi kusambaa kuwa JK ametoa maagizo kwa viongozi wa wizara ya nishati na madini tangu wakati wa Ngeleja kuwa hakuna kutumia gesi kwa ajili ya kuzalisha umeme badala yake majenereta yatumie mafuta mazito ambayo asilimia kubwa yatatoka GAPCO ambako yeye anahisa tangu akiwa waziri.Swali la msingi; Kama gesi imetoka all the way from mtwara to ubungo, mafuta ya nini?
Aidha Tanesco hulazimishwa kutengeneza mgao feki ili bwana mkubwa achote chake. Isitoshe maajabu mengine ni kwamba Tanesco wameingia mkataba na kampuni ya Ridhiwani ya kuleta nguzo za umeme toka Afrika Kusini na si Iringa tena. Yapo mambo mengine mengi tangu Richmond, DOWANS, Symbion na haya ma-IPTL, Agreko n.k ambayo JK anayajua vema lakini ameendelea na roho ngumu ya kuwanyonya watanganyika.

Ombi langu kwa Mungu, Avuruge nchi hii ili tuanze upya.
Wana bodi mnasemaje?
Hapo kwenye nyekundu ndo muafaka wa Tanzania asiwadanganye mtu.Hakuna njia ya mkato
 
Back
Top Bottom