Mgogoro mkubwa CUF

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Kuna tetesi kubwa zimezagaa hapa Dar na Zanzibar kwamba chama cha wananchi CUF kina mgogoro mkubwa wa chini kwa chini wa uongozi.Inadaiwa Naibu Katibu mkuu wa chama hicho Julius Mtatiro anaweza kufukuzwa wakati wowote ndani ya chama hicho.

Taarifa zaidi za ndani zinasema kwa zaidi ya miezi mitatu sasa Mtatiro amekuwa kimya kabisa na wala hasikiki kama ilivyokuwa kipindi Lipumba akiwa marekani.
 
Kuna tetesi kubwa zimezagaa hapa Dar na Zanzibar kwamba chama cha wananchi CUF kina mgogoro mkubwa wa chini kwa chini wa uongozi.Inadaiwa Naibu Katibu mkuu wa chama hicho Julius Mtatiro anaweza kufukuzwa wakati wowote ndani ya chama hicho.Taarifa zaidi za ndani zinasema kwa zaidi ya miezi mitatu sasa Mtatiro amekuwa kimya kabisa na wala hasikiki kama ilivyokuwa kipindi Lipumba akiwa marekani.

Mtatiro alishaambiwa hapo hapamfai.Wanataka kumtumia halafu wamtupe kama BIG G.Mark my words
 
Kuna tetesi kubwa zimezagaa hapa Dar na Zanzibar kwamba chama cha wananchi CUF kina mgogoro mkubwa wa chini kwa chini wa uongozi.Inadaiwa Naibu Katibu mkuu wa chama hicho Julius Mtatiro anaweza kufukuzwa wakati wowote ndani ya chama hicho.Taarifa zaidi za ndani zinasema kwa zaidi ya miezi mitatu sasa Mtatiro amekuwa kimya kabisa na wala hasikiki kama ilivyokuwa kipindi Lipumba akiwa marekani.
Mambo ya wafu waachieni wafu wenyewe!
 
Lunacy like TUNTEMEKE
 
Last edited by a moderator:
Kutokana na vuguvugu la wana uhamso kule zenji. Huyo ilikuwa ni lazima wamngoe, maana hicho chama kina mwelekeo wa ibada za kule zenji.
 
Aje CDM kadi yake iko wazi pia na gwanda. Wengi wamejivua magamba na kuvaa magwanda. Usiongope hata baba wa Taifa JK Nyerere alivaa gwanda wakati wa harakati za kutafuta Uhuru wa Tanganyika.
 
Du hii kali,ko jina la Julias linafaa chama kipi?na majina gani yanafaa Cuf?

Jina Julius linafaa chama kingine chochote isipokuwa CUF na Uamsho yao. CUF kunawafaa hawa wafuatao:-

(i) kwanza uwe na chuki na hasira kali na makafir na uwe tayari kuwauwa au ukishindwa kuwauwa basi nuna au wadharau au usishirikiane nao kokote walipo kwani hawastahili kuwepo chini ya jua.

(ii) Uwe tayari kuitetea na kuisimamisha dini kwa nguvu zote dhidi ya dini zingine katika nyanja zote iwe katika siasa, sirkali, n.k.

(iii) Unafiki, uongo, uzushi, propaganda chafu, uzandiki, husda, dharau, kejeli, umimi na mengineyo yanayofanana na hayo ndio silaha na mtaji mkuu.

(iv) Mwarabu ana thamani kuu kuliko binadamu mwingine yeyote kwani ni vitukuu na utakaloambiwa na mwarabu fanya bila kusita hata kama ni kuuwa.
 
Kuna tetesi kubwa zimezagaa hapa Dar na Zanzibar kwamba chama cha wananchi CUF kina mgogoro mkubwa wa chini kwa chini wa uongozi.Inadaiwa Naibu Katibu mkuu wa chama hicho Julius Mtatiro anaweza kufukuzwa wakati wowote ndani ya chama hicho.Taarifa zaidi za ndani zinasema kwa zaidi ya miezi mitatu sasa Mtatiro amekuwa kimya kabisa na wala hasikiki kama ilivyokuwa kipindi Lipumba akiwa marekani.

July you are welco to the jezy team!
 
Back
Top Bottom