apolycaripto
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 644
- 225
Cdm wana utaratibu wa kutoa taarifa si sawa na magamba ridhika na majibu ya kamanda Nanyaro wa brigedia ya Arusha ukitaka maelezo ya kina mwone msemaji wa chama kwanza si sifa ya makamanda kusema hovyo bali wapo kiutendaji zaidi
Kiutendaji zaidi ni pamoja na kusema uongo?
Utaratibu wa kutoa taarifa ni upi? kwa hiyo unakiri mgogoro upo ila mpaka msemaji wa chama. Kama ni hivyo Nanyaro asingetokeza hapa kukanusha wakati si msemaji.