Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,217
Nanyaro,
Hakuna sehemu nimeichafua Chadema mie nimeeleza mgogoro huo wala sio uzushi ni kweli mmewatimua wenzenu.
Hivi mtu ukielezea mgogoro wa Cuf dhidi Amadi Rashidi ni kuichafua Cuf? au kuelezea mgogoro wa NCCR Mageuzi dhadi ya Kafulila ni kuichafua NCCR Mageuzi?
Kwanza wewe huwezi kuwa mtu aliye katika ulingo huru wa kupost thread kama hii,Lazima tu judge ukweli wake,Wewe si Gamba wewe? Craaaaap