Mgogoro mkubwa Arusha Chadema waendelea kufukuzana

Kwa hiyo unakubali kuna mgogoro na wanachama wengine mmewafukuza?

kama unawafahamu waliotimuliwa waombe wakupe sababu za wao kutimuliwa then njoo zimwage hapa.ushaambiwa ao walishatimuliwa long time we unalazimisha kitu kisichokuwepo.
 
Mimi huwa nasema sana kuhusu hawa vidole juu kama wanacheza taarabu mbona wanapoelezwa ukweli usiopendeza kuhusu chama huwa hawakubali hali lakini uongo na sifa za kijinga huwa wanazifurahiya sana
 
Back
Top Bottom