Mgogoro Arusha: Maaskofu bado hawamkubali Meya na Mary Chatanda!?

Maaskofu wana hasira sana yule mgombea wa Urais Padri Mstaafu ambae hajaoa alipigwa kwa election na JK! Nimemuona jana Ofsi za CDM amenyoa upala na Gwanda lake basi kama kikatuni! Na mkono wake naona ule hauponi tena!

Unaanza kupata laana kijana .Unamchukia mtu hadi unamuombea mabaya ? Vipi kama kesho ukiamka ukaanguka chini ukawa kilema zaidi ya aliyo Slaa then utasemaje ? Kikatuni ? This is extreme hii siyo JF ambayo tumeijenga from day one tuna wajinga wengi mnakuja hapa .Mnashindwa kuongea la maana mnaanza matusi .CCM wakiwatuma njooni na hoja na si vioja .
 
Back
Top Bottom