Mgeni

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Msela mmoja alipata mgeni ambaye ni rafiki ya wa zamani waliesoma nae...kwa kuwa ilikuwa ni jioni ilibidi jamaa amkaribishe jamaa alale kwake ili kesho aendelee na safari yake..
xaxa msela kapanga na anachumba kimoja tu sebule imetenganishwa na pazia...
ilipofika mda wa kulala msela akataka GAME..
mme _"sasa wife fanya mambo basi maana nahisi baridi kweli"
mke_"kaaah!! Wee mme wangu! Huoni tuna mgeni..hata aibu huoni?"
mme_"ok poa..potezea basi"
msela akaenda kulala sebuleni na mgeni..kumbe mgeni kasikia newz yote..
usiku mwenye mali alipolala mgeni akaenda kwa bed si akaanza kufanya mambo..
mke_"we husband king'ang'anîzi kweli haya bhana umeshinda wewe"
mgeni_" mmmh..mmh..mh."
asubuhi kuamka mgeni hayupo ndipo mke akamuuliza mme wake.._"we jana nakwambia tusifanye we umeng'ang'ania tu ona sasa hata mgenikakwepa aibu"
mme_"haaaah!!.. haaah..!!haah.. !!hah!! Yaani! Yaani! Mimi huyu wa kunifanyia hivi?"
mke_"kwani kuna nini mme wangu"
mme_" yaani kaondoka hata kuniaga hakuna!?"
 
hahahaha,hahahhaha,
Jamaa anaona so kusema sio yeye aliyekula mzigo lol!
hehehe ila mke naye kazingua,ina mana alipokuwa anafanya na jamaa hakujua kwamba fleva niza mtu mwingine?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom