MGeni

kure11

Senior Member
Apr 10, 2011
110
26
Wana jf nawasalimu. Mimi ni mgeni,naomba mnipokee,hakika hapa ni mahali pa zuri napakubali sana.nilikuwa naingia kama mgeni ila nikaona chabo sio nzuri.!!!!!! Keep it up all,nawapenda wote.
 
. Mimi ni mgeni,naomba mnipokee,hakika hapa ni mahali pa zuri napakubali sana.nilikuwa naingia kama mgeni ila nikaona chabo sio nzuri.!!!!!! .

Karibu kure11, kwako huhitaji chabo, jisevie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom