Mgeni

Hakuna mwalimu anayekomaa na majukumu mengine zaidi ya kufundisha kipindi chake labda kama hana akili timamu
Walimu wa madarasa, academic master/mistress, walimu wa nidhamu, makamu mkuu wa shule, walimu wa michezo, n.k hao wote hawakomai na majukumu yao?
Sipati picha wala negative ya hiyo shule.
Watu wakisema walimu wengi ni wezi mnawatukana.
 
Ungekuwa mwalimu ungeelewa na kutenga muda wa kufanya mambo yako
 
Walimu ni wito mzee kama ilivyo kazi ya upadri,usipo kuwa na wito kazi ya uwalimu haikufai usije tuharibia vijana wetu tafuta kazi nyingine,hasa ukijuwa maana ya wito...
Labda wazee ndio wana wito
Nini faida ya wito au ni upendo wa mshumaa
 
Ungekuwa mwalimu ungeelewa na kutenga muda wa kufanya mambo yako
Kwa sababu wewe ni "mwalimu" hujanielewa kuwa kufuatilia post humu jf ndo jambo langu la leo
Ualimu sio kusimama tu pale mbele ya wanafunzi, hujajiandaa na kuanza kuwaongopea wanafunzi.
Usiitafute laana ya kizazi chako kwa kutowatendea haki watoto wa wenzio.
Kumbuka what goes around, comes around.
 
Nitafute tuonane ana kwa ana ndio naweza kukuelewesha vizuri naona hatuelewani
Tukae chini tuelewane vizuri
 
Nakuelewa vizuri kuliko unavyodhani. Nadhani hunielewi kwa sababu ambazo only Heaven knows.
Change your attitude towards your profession.
Kuonana sioni kuwa ni muhimu ktk hili.
Karibu jamvini, mwalimu
 
Basi sawa
 
Walimu ni wito mzee kama ilivyo kazi ya upadri,usipo kuwa na wito kazi ya uwalimu haikufai usije tuharibia vijana wetu tafuta kazi nyingine,hasa ukijuwa maana ya wito...

Mwalimu kanituma, eti (walimu=ualimu, usipo kuwa = usipokuwa, usije tuharibia = usijetuharibia, ukijuwa = ukijua), ni mgeni kaogopa kuja mwenyewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom