Mgeni wangu anasema....

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Chini ni email ya mgeni wangu wa zamani baada ya kumtumia Newsletter..

======
Thank you for the information on a TZ safari. I will not visit TZ and spend my money there until Kikweti gives up his plan to build a road across the northern area. I can visit lots of other African countries, I don't have to go to TZ.Best Regards,
****
====

Sasa nabaki najiuliza inawezekana Tanzania tunakosa watalii kwasababu ya mpango wa ujenzi wa barabara ya Serengeti.
 
Kwani barabara ya Moro-Iringa imeathiri vipi mbuga ya Mikumi mkuu? Je hilo eneo wanalokatiza nyumbu haliwezi kutengwa kukawa na kipande cha rough road na pia wakati wa migration ya nyumbu pakafungwa kwa muda? Je kuna mbadala wa hii barabara?
 
Hakuna cha kugive up, the plan is there but the 50 kms distance in the park will be underground. Waseme jingine.
 
Huyo takuwa ni mtalii maskini, watalii wa ukweli wanashuka na ndege KIA then wanachukua vile vindege vya Caravan wanadondoka mbugani na huko wanaendeshwa kwenye mbuga na magari ya watalii sasa yeye na umaskini wake anataka kutembea kwa gari kutoka geti la Ngorongoro pale Karatu mpaka geti la Fort Ikoma kule Serengeti? Mwambie kuwa we dont have a plan to build a road and you can go and visit another country with tamac roads in the national parks kama kweli hizo nchi zipo
 
Kama sijakosea, hukumwelewa mgeni alicho sema. Mgeni amechukizwa sana na mpango wa KIKWETE kuenga barabara ya lami Serengeti, na amesema hatatembelea TZ hadi hapo kikwete atakapobadili mpango wake wa kujenga hiyo barabara.
 
Kwani barabara ya Moro-Iringa imeathiri vipi mbuga ya Mikumi mkuu? Je hilo eneo wanalokatiza nyumbu haliwezi kutengwa kukawa na kipande cha rough road na pia wakati wa migration ya nyumbu pakafungwa kwa muda? Je kuna mbadala wa hii barabara?

Ndiyo, kuna barabara mbadala; Visit
http://www.savetheserengeti.org/wp-content/uploads/2010/06/Serengeti_map.jpg,
na madhara ya hii barabara vist.http://www.savetheserengeti.org/materials/Sereng_Biodiversity_Program.pdf
 
Back
Top Bottom