kwa mamangu hadi leo kuna vyombo vya wageni.Kulikuwa na vyombo kwa ajili ya wageni?
hii bomba sana, sisi nakumbuka tumelala sana chini maana home tulikuwa tunapaita hospital, wagonjwa kibao wa kutoka kijijini kwa dad na mama, kisa mama nurse. wakija hospital wanafikia nyumbani, hata baada ya matibabu kuisha wanasingizia wanajiangalizia kwanzaMgeni akija watoto piga nyama chini kwenye mkeka. Mgeni apewe kitanda.
hii bomba sana, sisi nakumbuka tumelala sana chini maana home tulikuwa tunapaita hospital, wagonjwa kibao wa kutoka kijijini kwa dad na mama, kisa mama nurse. wakija hospital wanafikia nyumbani, hata baada ya matibabu kuisha wanasingizia wanajiangalizia kwanza
hayo ya kitanda watu 4 ndo yalikuwa maisha ya kila siku. watoto wa shangazi, mama wakubwa, binamu zake wifi yake mama etc etc wote munaishi nao, kila mtu kitanda chake mtaweza wapi? chumba kimoja vitanda 2, kila kitanda watu wasiopungua 3. mimi nimeanza kulala kitanda cha peke yangu nilipoenda form one boarding, na siku za mwanzo nilikuwa naogopa kulala mwenyewe nikawa naomba kulala na wenzanguduuuuuhhhh
Mama nesi hapo wageni hawaishi.
yaani mzazi akiwa na professional fulani hivi kwisha kazi.
au nduguze,jamaa na marafiki wakisha jua ana kipato fulani.
nyama chini mkeka asubuhi ukiamka miraba yote ya mkeka usoni.
au ili kitanda kimoja watu wanne . wawili kichwa juu wawili kichwa chini.
ni mtindo wa kukanyagana kwa kwenda mbele asubuhi ngeu kama umetoka kuiba . :A S 13:
hayo ya kitanda watu 4 ndo yalikuwa maisha ya kila siku. watoto wa shangazi, mama wakubwa, binamu zake wifi yake mama etc etc wote munaishi nao, kila mtu kitanda chake mtaweza wapi? chumba kimoja vitanda 2, kila kitanda watu wasiopungua 3. mimi nimeanza kulala kitanda cha peke yangu nilipoenda form one boarding, na siku za mwanzo nilikuwa naogopa kulala mwenyewe nikawa naomba kulala na wenzangu
sisi kwetu kuchapwa hakukuwa kwa saana, hao wazazi watamchapa nani wamwache nani? maana tulivyokuwa wengi na makosa mengi yalikuwa yanafanywa kwa makundi so mzazi akiamua kuchapa ni kama anajipa adhabu labda aombe na wagonjwa wasaidiane, kila mtu ashike mtoto mmoja.hahahahahahahahah lohhhh
Maisha tuliyopitia tacheni tu turinge jamani..
mi nilikuwa napenda sana wageni sababu moja tu HATUCHAPWI mbele ya mgeni.
kwa hiyo kukiwa na mgeni umepona. "Omba Mungu mzazi asikumbuke kosa baada ya mgeni kuondoka"
kuna wale wageni wanakuja na kuka wiki wanaondoka , lakini kuna wale wakija mwezi miezi miwili hawaondoki
na wageni wakisha kuwa wenyeje bakora unakula ukifanya kosa...
sisi kwetu kuchapwa hakukuwa kwa saana, hao wazazi watamchapa nani wamwache nani? maana tulivyokuwa wengi na makosa mengi yalikuwa yanafanywa kwa makundi so mzazi akiamua kuchapa ni kama anajipa adhabu labda aombe na wagonjwa wasaidiane, kila mtu ashike mtoto mmoja.
wakati ule tatizo lilikuwa kwenye nyama, the only nyama ambayo tulikuwa tuna-afford ilikuwa kuku sababu tunafuga wenyewe, sasa kama wageni wamezidi kuku akichinjwa wengine mnapata mchuzi na utumbo, ha haaaa. yaani ni kwa vile tu huwezi kupika manyoya, otherwise tungekuwa tunayapika...... sasa hapo wakati mwingine mnaweza mkakaa miezi 2 bila kula nyama, na hapo kumbuka mnalala chini na subuhi hakuna chai ya sukari.
Haya maisha bwana................ uzuri kuna mwanzo na mwisho wa kila kitu
hapa ni MAPENZI,MAHUSIANO NA URAFIKI.
nimekumiss sana, yaani sana kupita maelezo.
Kama umenimiss mbona sijaona umenitumia hela kwa M-pesa? Usinizuge weye ntoto!
Mmnh; nikikutembelea utanilisha miharage? Tusiache mila jamani, twaweza boresha though!
hii bomba sana, sisi nakumbuka tumelala sana chini maana home tulikuwa tunapaita hospital, wagonjwa kibao wa kutoka kijijini kwa dad na mama, kisa mama nurse. wakija hospital wanafikia nyumbani, hata baada ya matibabu kuisha wanasingizia wanajiangalizia kwanza
sisi kwetu kuchapwa hakukuwa kwa saana, hao wazazi watamchapa nani wamwache nani? maana tulivyokuwa wengi na makosa mengi yalikuwa yanafanywa kwa makundi so mzazi akiamua kuchapa ni kama anajipa adhabu labda aombe na wagonjwa wasaidiane, kila mtu ashike mtoto mmoja.
wakati ule tatizo lilikuwa kwenye nyama, the only nyama ambayo tulikuwa tuna-afford ilikuwa kuku sababu tunafuga wenyewe, sasa kama wageni wamezidi kuku akichinjwa wengine mnapata mchuzi na utumbo, ha haaaa. yaani ni kwa vile tu huwezi kupika manyoya, otherwise tungekuwa tunayapika...... sasa hapo wakati mwingine mnaweza mkakaa miezi 2 bila kula nyama, na hapo kumbuka mnalala chini na subuhi hakuna chai ya sukari.
Haya maisha bwana................ uzuri kuna mwanzo na mwisho wa kila kitu
ukiwa kwako miharage hauli? Tuacheni kupenda vizuri kwa watu. Kuna bibi yangu nae akienda kumtembelea mtu ni shughuli, akikaa wiki tu mshachoka na budget kashawavurugia kwa mambo hayo hayo ya kupenda kujenga shavu kwa pochi la ndugu.