Ukiwa na shida yoyote ya kiimani au kiroho paroko niko hapaShukrani kaka
BadoKaribu Queen B. Ushampata mwenyeji?
Ungenitaja mimiBado
Haya mimi ndio mwenyeji wako. Sawa?Bado
SawaHaya mimi ndio mwenyeji wako. Sawa?
Wewe ndo umeshakuwa tayariUngenitaja mimi
Cc: lancanshireWewe ndo umeshakuwa tayari
Ukiwa na tatizo lolote au kuna mtu anakusumbuwa uniambie. Karibu sanaSawa
Mkuu tusaidiane basi kumwelekeza mazingira.mpaka azoee hapa ndani
Kwa kuwa bado ana kamba mguuni basi abanduliwe na MziziMkavu kitaalam kabisa ili isimuumize na kumsababishia michubuko!!!!
Sawa kakaUkiwa na tatizo lolote au kuna mtu anakusumbuwa uniambie. Karibu sana
your devil mind jogiKwa kuwa bado ana kamba mguuni basi abanduliwe na MziziMkavu kitaalam kabisa ili isimuumize na kumsababishia michubuko!!!!
Msininukuu vibaya.
nimejitosheleza kitengoniMkuu tusaidiane basi kumwelekeza mazingira.mpaka azoee hapa ndani
Haya umeskika mkuuKwa kuwa bado ana kamba mguuni basi abanduliwe na MziziMkavu kitaalam kabisa ili isimuumize na kumsababishia michubuko!!!!
Msininukuu vibaya.