Mgema akisifiwa..........!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,857
13,140
View attachment 63708
Hii ni mitaa ya Buguruni, Nelson Mandela Rd.
Jamaa wanagema mafuta kutoka kwenye matenka mchana kweupee!

Tusubiri mvuta sigara tu apite siku moja mitaa hii na barabara yote itawaka moto.
 
wana bisibisi hawa, jamaa anachunulia kwa upole maana ukiwashukia tu wanakukamua, inasemekana matanki haya yanarudi depo kwa hiyo wanaambulia masalia, lakini ukweli unabaki hapo kwamba tunasubiri llipuke ili tume ipate TORs
 
Hawa jamaa wanafanya kitu kimoja cha hatari sana.Kama kawaida, wanaohusika hawana habari kabisa na hilo lakini moja likilipuka ndio utaona kila mtu anajifanya ana uchungu na kuguswa. This Country Bwana......
 
Mkuu siyo kwamba hawaoni ila wanadharau tu.
Hapo Buguruni tusubiri mlipuko kama wa Mbagala au Gongo la Mboto ndo lishughulikowe.
Tukumbuke kuwa mafuta yanayogemwa yanaweza kuwa kichocheo tu kwa mlipuko mkubwa zaidi kwa matanker yanayopiya kuelekea bara katika barabara ya pili.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Hawa jamaa wanafanya kitu kimoja cha hatari sana.Kama kawaida, wanaohusika hawana habari kabisa na hilo lakini moja likilipuka ndio utaona kila mtu anajifanya ana uchungu na kuguswa. This Country Bwana......
is very poor but idont know why.
 
View attachment 63708
Hii ni mitaa ya Buguruni, Nelson Mandela Rd.
Jamaa wanagema mafuta kutoka kwenye matenka mchana kweupee!

Tusubiri mvuta sigara tu apite siku moja mitaa hii na barabara yote itawaka moto.

kumbe wewe ndo uliniovateki ili uwahi kupiga picha huyu teja, daaah ungenichuna na bajaji yangu lazima moto ungewaka na hiyo petrol daah
 
Nigeria mbali kote huko mama pale Idweli(Mbeya) tu tabia hiyo ilisababisha makumi ya watu kubanikwa kama mishkaki sijui wahusika huwa wanalala usingizi..??

Nakumbuka Alfred Masako aliitangaza kwa mbwembwe kweli.Weeenye madumu haaya,wenye sufuria twendeee,wengine walibeba hadi vijiko.Nikiripoti kutoka Mbeya mimi ni Bety Mkwasa samahani,ni Alfred ****** kumradhi tena,ni Alfred Masako wa Aiii Ti Vi.
 
Hivi yuko wapi huyu Rainfred Masako..??
 
Back
Top Bottom