Mgawo wa umeme warejea rasmi.

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Kutokana na kile kinachoendelea kutokea kuanzi siku ya jumatatu kwa kukatika umeme kila baada ya saa takribani 7, hatuna budi kusema mgao wa umeme umerejea rasmi huku wananchi wengi wakiitegemea nishati hiyo ya umeme ambayo ndiyo tegemezi kwa watanzania wengi!
 
That is true! Ninavyoandika hivi sasa ni saa 8 za mchana, tokea nitoke nyumbani saa 1 asubuhi ndio umerudi! Nahisi mambo yaleyale ya Ngeleja yanaanza kujirudia! Lets wait and see.
 
Back
Top Bottom