Mgawo wa umeme wafikia saa 18 kwa siku

Bora Tanesco wangesema mgao utaanza kila kitongoji kitapata umeme kwa wiki mara mbili kuliko kuleta usanii wa masaa
 
ile kauli ya mwenyekiti wa CCM kuwa awamu ya nne ya uongozi wa serikal ya Tanzania italeta maendeleo kwa ari zaid, kasi zaid na nguv zaid imegeuka knyume japo imetekelezwa kwa mtindo ule ule upande wa mgao wa umeme kwan sasa hv umeme unakatka kwa nguv mpya kasi mpya na ari mpya.
 
Back
Top Bottom