Mgawo wa umeme umepiga hodi Dom tangu jana!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,649
Leo ni siku ya pili sasa, mji wa dodoma umeanza kuwa na mgawo wa umeme. Kwa maeneo ya Kisasa mgawo umekuwa ukianza mida ya saa 8 usiku hadi saa 4 asubuhi.

Leo ni siku ya pili mfululizo kitu kimeanza kunyanyasa.

Huenda ule mgao 'feki' uliopangwa ili kuwanufaisha viongozi waandamizi wa nchi hii wakati wake ndo umetimia. Sijui itakuwaje maana huu ni mwezi wa saba.
 
ni kweli ndugu .... hawa mafisadi wanaifanya nchi kama wanavyotaka..... hata huku kongwa ni ivo ivo
.....
dhaifu hawa wanatutesa
 
Back
Top Bottom