Mgawo wa bia/lager

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
19,763
35,201
NIMEPTA SEHEMU NIKAKUTA HUU MJADALA

"...Mgawo wa maji tuliukubali na tumeshazoea kununua kwa madumu,

Mgawo wa umeme tukaumiaaaa mwishoe tumezoea,

ukaja mgao wa mafuta huu ukawagusa wengi na makelele yakapigwa taratibuuuu unafanyiwa kazi japo hatma haijulikani.....

Naskia sasa unaofuta ni mgawo wa Bia aka LAGER! hapa sijui itakuaje maana ndio inawasaidia watanzania kuzisahau shida za migawo.

BASI WAKITAKA KUJUA AKILI ZETU WATOE BIA KWA MGAWO!"
 
Back
Top Bottom