Mgao wa Umeme

Ipole

JF-Expert Member
Apr 15, 2008
294
10
Kutokana na taarifa aliyoitoa katika vyombo vya habari mukulungenzi wa Tenesco kwamba Tenesco inajitoa katika ununuzi wa mitambo ya kuzalisha umeme ya Downs lakini kwa maelezo kuwa kutakuwa na matatizo ya umeme naomba niwaulize wana JF Je tatizo hilo lipo kweli ? au hao Tenesco wanataka kuhalalisha ununuzi wa mitambo hiyo?
 
Nasikia wametangaza mgao rasmi leo kwny magazeti ila sina uhakika ni gazeti lipi, labda wenye hiyo ratiba watuhabarishe tukae mkao wa kula make ukishaanza waathirika ni sisi, hao jamaa wanaobania umeme wana generator home kwao!
 
Ratiba ya mgawo wa umeme yatolewa
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa ratiba ya mgawo wa umeme kwa Jiji la Dar es Salaam, huku maeneo ya viwanda Temeke yakinusurika na mgawo huo. Ratiba hiyo ilitolewa leo ikiwa ni siku moja baada ya shirika hilo kutangaza mgawo huo juzi kwa lilichoeleza kuwa ufuaji wa nishati hiyo
Imeandikwa na: Mwandishi Wetu, tarehe: 26th March 2009 @ 20:00, Maoni: 0, Watu waliosoma hii habari: 15
Soma Hii habari Umeona hiyo ndugu yangu?
 
ni gazeti gani limeandika? nitumie link pls
 
Huu mgao wa umee mbona umekuja ghafla baada ya mitambo ya Dowans serikali kukataa kuinunua wakati Rais Kiwete alitangaza kuwa suala la mgawo wa umeme litakuwa historia katika nchi hii, sasa mgawo huu unatoka wapi tena?

Au wamilikiwa wa Dowans wamishikilia Tanesco na kuharibi mitambo ili ya kwao inunuliwe?
 
Mliambiwa lazima magenerator yanunuliwe mkabisha kuleni giza kwanza serikali ikisema inanununa mnasema ndio mzee bila kupinga
 
Back
Top Bottom