Mgao umeanza upya, gesi imeadimika kutoka Songosongo
Hivi ina maana serikali haina pesa za kununua mitambo mipya ili kukomesha tatizo hili? Mbona kila mara matatizo yanajirudia yale yale?
Mi nadhani kuna mchezo mchafu unaendelea ambao unasababisha serikali isiwe na nia ya dhati kukomesha tatizo hili.Anyway kila lenye mwanzo halikosi mwisho!
No.Enough is Enough tumechoka na mgao. Suala hili lazima litatuliwe sasa. Nchi imezungukwa maji kila sehemu, tuna maziwa, mito na maji.Tuna madini kibao halafu tukose umeme!Something should be done . Haya ni matunda ya ufisadi ambao tunaukumbatia.Mgao tena!!!! Tumeishazoea
shida wacha tu watukomoe.
Nikisoma,nikiangalia au nikisikia habari za TANESCO,ATCL,TTCL,DAWASCO siku zote huwa naanza kuona kizunguzungu hata kabla habari hiyo haijaisha.
Kwa wale wanaojua how the freemasons operate, hakuna jipya hapa.This is a deliberately created crisis.And mind you this will not be the last. They create one crisis after another ili tushindwe kupanga mambo yetu,tukose matumaini na to loose confidence in ourselves and evenly tuwe easy to manipulate and rule.
Nikisoma,nikiangalia au nikisikia habari za TANESCO,ATCL,TTCL,DAWASCO siku zote huwa naanza kuona kizunguzungu hata kabla habari hiyo haijaisha.
Mgao umeanza upya, gesi imeadimika kutoka Songosongo
halafu jk anapanga kesho kwenda msibani wa mama yake spika anna makinda-njombe!tatizo la umeme kwake halina priority kama mazishi!!!