Mgao wa umeme umerudi?

RECYCLER

Senior Member
Jan 14, 2012
104
10
Wana JF hebu niambieni huu mgao wa umeme ndo umerudi kimyakimya? manake huku kwetu kila siku unakatika afu unarudi jioni......
 
Na mimi nashangaa kwa Senior member kupost nyeti kwenye udaku wapi na wapi!
 
Back
Top Bottom