Mgao wa Umeme: Tatizo ni UKAME - Kikwete akihojiwa na BBC

Sisi wenyewe watanzania ni tatizo, na uongozi tuloupa jukumu la kuiongoza nchi ni reflection tosha ya sisi ni watu wa aina gani.

Kama ni suala la maombi nadhani tujiombee na sisi wenyewe. Hatujui hata kujisaidia wenyewe, tumekaa kusubiri huruma ya watawala.
 
B, hebu acha kututupia laana,

Yaani sis wenyewe ni tatizo na viongozi wetu ni kiroba cha misumali...sasa hapo nani atamwongoza kipofu mwenzake kukadiria ukubwa wa tembo?
 
Naombeni mnisaidie tu JK ALISHAWAH KUWEKA ODA YA MITAMBO? ALIWEKA LINI, NCHI GANI AU KAMPUNI GANI NA NI SH NGAPI? NAOMBENI MNISAIDIE JAMANI ILI WALAU HASIRA ZISHUKE,SASA HIUI HUKO BUNGENI HUYU MAZA AMELAZMISHA BAJETI YA ELIMU NA UFUNDI IPITE KWA MUJIBU WA KURA ZA NDIYOOOO LICHA YA TUNDU LISSU KUMHOJI KWANINI KAMKATALIA ASIONDOE SH1 KWENYE BAJETI HY SBB YA MATATIZO MENG YA WIZARA HY, MAZA KASEMA ETI MDA UMEBAKI KIDOGO KWA LEO HVYO IPITISHWE KWA KURA ZA NDIOO NA SIOO YN KIRAHISIRAHISI TU, YN NAUMIA SANA ROHO YANGU KWA MZAHA UNAOFANYWA
 
Mie labda ni toe ushauri kwa JK kama yeye anajua hayawezi kuyajibu maswali ya waandishi aseme hivi MSEMAJI WANGU HAYUKO KWA SASA!! mbona walio chini yake wanatumia hiyo!
 
Rais Jakaya Kikwete, ameuzungumzia mgao wa umeme unaendelea sasa nchini kote, amesisitiza "tatizo ni ukame".

Rais Kikwete alikuwa akizungumza kwenye mahojiano maalum na BBC akiwa nchini Afrika Kusini yaliyorushwa jioni hii na BBC Swahili.

Rais amesisitiza, kwa vile mitambo yetu mingi inategemea nguvu za maji, hivyo tatizo la umeme limesababishwa na ukame.

Mwandishi akahoji kuwa tangu 2006 mgawo ulipoanza, bado tuu mlikuwa mkitegemea mvua?.

Rais alijibu kuwa baada ya 2006 hatua mbalimbali zimechukuliwa kuzalisha umeme kwa njia za gesi, makaa ya mawe hata umeme wa nguvu za upepo, lakini miradi hii yote inahitaji muda muafaka wa kuagiza mashine, akasisitiza ununuzi ewa mitambo unachukua muda, "huwezi kununua mitambo ya umeme hivi hivi tuu kama unavyoingia dukani kununua koti lako, mitambo huagizwa kwa kupeleka order kiwandani utengenezewe. hata hii mitambo inayoingizwa nchini hivi sasa, iliaagizwa toka mwaka jana.

Rias Kikwete amewataka wanasiasa wasibeze juhudi za serikali kuwaletea umeme wa uhakika Watanzania.

Pia Rais Kikwete, ameuhakikishia tena ulimwengu kupitia BBC kuwa serikali yake ni sikivu, kama kuna watyu wenye hoja za msingi kuhusu utatuzi wa tatizo la umeme, wasiishie tuu kulalamika, bali waje na hoja za jinsi ya kutatua tatizo hili na serikali yake itazipokea hoja hizo na kuzifanyia kazi.

My Take.
Japo ni kweli sababu kuu ya mgao huu wa umeme ni ukame, Tanzania would have done better by now kama tatizo lilijulikana tangu 2006, ila pia huu ni wakati kwa sisi Watanzania tuitikie mwito wa rais wetu, " Tupunguze kulalamika tuu, tuje na solutions, serikali ikizikataa ndipo tuibeze kuwa "Tuliwashauri na hamkusikia!"

Pasco

Hapa katika nyekundu napata shida kuelewa JK anamaanisha anachokisema au anasema anachokimaanisha kwa ufupi anataka ushauri au anazungumza mtu katika kioo watu wamuone.

Wizara ya Nishati kuna mapendekezo mbalimbali yametolewa na Tanesco ameyasikiliza mangapi na mangapi hakuyasikiliza??? Pia ukame kama ndio chanzo mbona Mto Rufiji watu wanaogelea maji kwa wingi tu huko ameenda kupatembelea kabla hajasema shida ni ukame?

Albert Einstein aliwahi kusema statement hii Insanity is when you keep doing the same thing over and over and expect a different result. Watanzania wanahitaji kuamka sasa CCM haina nia ya kuleta maendeleo ya dhati.
 
Tunatumiaje taarifa za hali ya hewa (Weather forecast) ili kukabiliana na matatizo ya ukame? Ninavyojua mimi mamlaka ya hali ya hewa nchini na hata zile za kimatatifa au za kikanda hutoa predictions/projections za hali ya hewa kwa hata miaka mitano mbele, kutegemeana na mwenendo wa mabadiliko ya majira, hewa,mikondo ya maji baharini n.k. Tatizo la viongozi wetu maofisini huwa hawasomi taarifa wanazopelekewa, wanaziweka tu kwenye mafaili na kuzifungia kabatini. Likitokea la kutokea ndo wanashtuka. Kuna regional "early warning system" iliyoko Nairobi kwa ukanda wa afrika mashariki na pembe ya africa, kwa hiyo suala la ukame ni suala ambalo ninaamini lilifahamika mapema ila viongozi wetu walipuuzia ili wapate kisingizio.
 
Sawa mkuu,

Hivi ukiwa Rais wa nchi unaacha kutumia akili ya kuzaliwa (sijui ndiyo mnaita common sense) mpaka upikiwe majibu????

Sasa mkuu kama JK alithubutu kujibu, I quote, "...sijui umaskini wa nchi yangu unaletwa na nini.." end of quote. Do you still think kuna common sense hapo? Kwa kuwa presidency ni institution, yenye check list ya kila kitu kwa ajili kumsaidia rais, basi tunamkumbusha anao watu wanaopaswa kumtengenezea haya yote. Sasa kama alishindwa kutumia TISS, kuchagua watu wenye welledi na uzoefu ikulu basi tena....na ndo maana naona hatuna la kufanya zaidi ya kuomba sala kwenye makanisa. Maana hiyo ndiyo kawaida ya bongo, tukikosa mvua tunasali...ajali barabarani tunawaomba makanisani na misikitini wasali tuondoe/punguza ajali.... Tunasahau kuwa tunao uwezo wa kupunguza kwa kiasi kikubwa majanga haya!!!!
 
Tatizo sio maji wala nini...tatizo ni rushwa iliyokuwa ikitolewa katika kuwarubuni wabunge wapitishe mikataba hewa, mitambo mibovu, ya Richmond nk. Sasa ndo tumejua kuwa badget ya wizara ya nishati na madini huwa wanawapa rushwa wabunge inapita tu... Matokeo yake ndo haya tunayaona sasa.
Hapo sasa...Ikiwa wanathubutu kutoa fedha kuwarubuni wabunge wapitishe bajeti yao,ni dhahiri kuwa hata wenyewe walijua ina mapungufu...walizembea kutimiza wajibu wao!Vipi kwenye mikataba ya madini na ununuzi/ukodishaji wa mitambo ya kuzalisha umeme si ndo Rushwa tupu!SINA IMANI NAO KABISA.
 
Huyu mkulu ni tahira, sasa tunahitaji ambaye ni kichaa asiyeelewa kitu mpaka kieleweke kuhusu raslimali za watz na kuwatoa mafisadi wote hadi nchi imekuwa safi, tumesha choka na matabasamu sijui yeye anadhani kuwa wote nchii hii ni mademu zake?
 
My Take.
Japo ni kweli sababu kuu ya mgao huu wa umeme ni ukame, Tanzania would have done better by now kama tatizo lilijulikana tangu 2006, ila pia huu ni wakati kwa sisi Watanzania tuitikie mwito wa rais wetu, " Tupunguze kulalamika tuu, tuje na solutions, serikali ikizikataa ndipo tuibeze kuwa "Tuliwashauri na hamkusikia!"

Pasco

Mkuu ni lini serikali ya JK imewahi kusikiliza ushauri wa watu wengine!!! Jk na watu wake wanatupa ushauri wa wataalamu!! Wana-substitute na ushauri wa kisiasa, nani anaweza kumshauri JK!!!

Hawa watu ni kama donda ndugu, haliskii dawa wala nini, hotuba ngapi za shauri mbali mbali za vyama vya upinzani, wataalamu wetu, walimu wa vyuo vikuu vyetu wamewahi toa, wa vikaweka kapuni!!! Wanaamini yao, kwa hiyo sisi hatuna la kusema, tunaombwa tu tusiwabeze!!!

Sualaliliopo ni kujikumbusha enzi za JKT, disco baada ya kula kabla ya kulala, tusogeze muda tulale, tusubiri kesho!!!
 
Inawezekana Serikali ya Kikwete ina mipango mingi mizuri kuhusu umeme lakini kwa jinsi wamekuwa wanajibu hoja za watu mbalimbali na wananchi kuhusu mgao imeondoa kabisa 'faith' kuwa wanafanya kitu. Na hata kama serikali ya Kikwete itafanikiwa kutatua hili tatizo week ijayo (miracles do happen) watu watendelea kuamini kuwa tatizo limeondolea si kwa sababu ya mipango/nia thabiti ya serikali bali ni kutokana na 'pressure' ya people's power. Hii sio tafsiri nzuri hata kidogo but I am afraid atatue au asitatue this is what his government will be remembered for -serikali iliyofanya kazi kwa nguvu ya umma!
 
Dark City, anachokisema rais ndicho alichoambiwa na hao washauri wake, sasa kama mashine zipo show room, tupeleke details zikanunuliwe sasa hivi only zisiwe za mitumba!.

Huna haja ya kumpa jina lolote JK, jina lake si ni Jakaya Kikwete, rais wa Tanzania?, jina jingine la nini?.
Pasco,
Unachoshindwa kuelewa ni kuwa,hii ni emergency.Kwanini tumetumia mabilioni ya dola kwa ajili ya emergency?
Tuna makaa ya mawe,kwanini tunashindwa ku-convert kiwira ili tuzalishe 400mw? mbona hii kitu inapotezwa kihunihuni tu,wakati tunajua kuwa tuna uwezo huo?
Kuhusu mashine kuwa show room,mbona zipo nyingi tu.
 
Rais Jakaya Kikwete, ameuzungumzia mgao wa umeme unaendelea sasa nchini kote, amesisitiza "tatizo ni ukame".

Rais Kikwete alikuwa akizungumza kwenye mahojiano maalum na BBC akiwa nchini Afrika Kusini yaliyorushwa jioni hii na BBC Swahili.

Rais amesisitiza, kwa vile mitambo yetu mingi inategemea nguvu za maji, hivyo tatizo la umeme limesababishwa na ukame.

Mwandishi akahoji kuwa tangu 2006 mgawo ulipoanza, bado tuu mlikuwa mkitegemea mvua?.

Rais alijibu kuwa baada ya 2006 hatua mbalimbali zimechukuliwa kuzalisha umeme kwa njia za gesi, makaa ya mawe hata umeme wa nguvu za upepo, lakini miradi hii yote inahitaji muda muafaka wa kuagiza mashine, akasisitiza ununuzi ewa mitambo unachukua muda, "huwezi kununua mitambo ya umeme hivi hivi tuu kama unavyoingia dukani kununua koti lako, mitambo huagizwa kwa kupeleka order kiwandani utengenezewe. hata hii mitambo inayoingizwa nchini hivi sasa, iliaagizwa toka mwaka jana.

Rias Kikwete amewataka wanasiasa wasibeze juhudi za serikali kuwaletea umeme wa uhakika Watanzania.

Pia Rais Kikwete, ameuhakikishia tena ulimwengu kupitia BBC kuwa serikali yake ni sikivu, kama kuna watyu wenye hoja za msingi kuhusu utatuzi wa tatizo la umeme, wasiishie tuu kulalamika, bali waje na hoja za jinsi ya kutatua tatizo hili na serikali yake itazipokea hoja hizo na kuzifanyia kazi.

My Take.
Japo ni kweli sababu kuu ya mgao huu wa umeme ni ukame, Tanzania would have done better by now kama tatizo lilijulikana tangu 2006, ila pia huu ni wakati kwa sisi Watanzania tuitikie mwito wa rais wetu, " Tupunguze kulalamika tuu, tuje na solutions, serikali ikizikataa ndipo tuibeze kuwa "Tuliwashauri na hamkusikia!"

Pasco
Nilitaka nimtukane ana akili kama za kondoo lakini nikaona nitakuwa nawadhalilisha kondoo!!!!
 
B, hebu acha kututupia laana,Yaani sis wenyewe ni tatizo na viongozi wetu ni kiroba cha misumali...sasa hapo nani atamwongoza kipofu mwenzake kukadiria ukubwa wa tembo?
Huo ndo ukweli mkubwa wangu!Kama tunabisha sisi sio tatizo, hao watawala bado wanafanya nn hapo?Yaani kosa mara ya kwanza, na ya pili pia? Haya tutasingizia waliiba kuwa si hatukuwachagua, haya basi wametuthibitishia hawawezi kutupeleka tutakapo. Tumefanya nini basi? Sisi wenyewe janga!
 
Wacha niwahi kitimoto na safari baridi pale B-Bar Sinza. Maana naona kichwa kinawaka moto!!!

Uzuri wa pale kuna kajenereta kanapafanya live live...washkaji wanasema iko tayari, najia foleni imepungua, just 40mins nitawahi!!!
 
Rais Jakaya Kikwete, ameuzungumzia mgao wa umeme unaendelea sasa nchini kote, amesisitiza "tatizo ni ukame".Rais Kikwete alikuwa akizungumza kwenye mahojiano maalum na BBC akiwa nchini Afrika Kusini yaliyorushwa jioni hii na BBC Swahili.Rais amesisitiza, kwa vile mitambo yetu mingi inategemea nguvu za maji, hivyo tatizo la umeme limesababishwa na ukame.Mwandishi akahoji kuwa tangu 2006 mgawo ulipoanza, bado tuu mlikuwa mkitegemea mvua?.Rais alijibu kuwa baada ya 2006 hatua mbalimbali zimechukuliwa kuzalisha umeme kwa njia za gesi, makaa ya mawe hata umeme wa nguvu za upepo, lakini miradi hii yote inahitaji muda muafaka wa kuagiza mashine, akasisitiza ununuzi ewa mitambo unachukua muda, "huwezi kununua mitambo ya umeme hivi hivi tuu kama unavyoingia dukani kununua koti lako, mitambo huagizwa kwa kupeleka order kiwandani utengenezewe. hata hii mitambo inayoingizwa nchini hivi sasa, iliaagizwa toka mwaka jana.Rias Kikwete amewataka wanasiasa wasibeze juhudi za serikali kuwaletea umeme wa uhakika Watanzania. Pia Rais Kikwete, ameuhakikishia tena ulimwengu kupitia BBC kuwa serikali yake ni sikivu, kama kuna watyu wenye hoja za msingi kuhusu utatuzi wa tatizo la umeme, wasiishie tuu kulalamika, bali waje na hoja za jinsi ya kutatua tatizo hili na serikali yake itazipokea hoja hizo na kuzifanyia kazi.My Take.Japo ni kweli sababu kuu ya mgao huu wa umeme ni ukame, Tanzania would have done better by now kama tatizo lilijulikana tangu 2006, ila pia huu ni wakati kwa sisi Watanzania tuitikie mwito wa rais wetu, " Tupunguze kulalamika tuu, tuje na solutions, serikali ikizikataa ndipo tuibeze kuwa "Tuliwashauri na hamkusikia!"Pasco
Kwani tangu mwaka 2006 had sasa ni miaka mingapi imepita? Au ndo mgao umeanza mwaka huu?
 
Kweli huyu rais ni mvivu wakufikiria........tatizo la nchi yetu ni mikataba mibovu amabayo inalinyonya shirika la umeme na kukosa uwezo wa either kuagiza mitambo mingine au kufanya uwekezezaji wowote mwingine
 
Tafadhali Pasco!Hatua ni zipi hizo? Na ziko njia gani ambako hakupitiki miaka nenda rudi?Fikiria makali ya umeme 2006 hadi leo yameongezeka kiasi gani? Kila siku juhudi za makusudi zinafanywa na hatuzioni sisi/mimi!Mwanzoni mwa mwaka tuliambiwa mgao ni kwa mwezi wa January tu....leo hii ni July na hali ni mbaya kuliko.Hebu nisaidie na mm niishi kwa matumaini Pasco.
Ndugu yangu BHT siku zote mambo mazuri hayataki haraka. Be a litle patience good things are coming!.
 
Back
Top Bottom