Mgao wa umeme: CHADEMA tuamshe watanzania tuseme basi

Nyami2010

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
227
50
WanaJF

CHADEMA, tuongoze ili twende zaidi ya Shinikizo kwa Baraza la Mawaziri.

CHADEMA, itisheni maandamano ya Kitaifa ili watu tuseme basi!

CCM wapo vitani wao kwa wao na hatma ya nchi haijulikani, CHADEMA tuamshe watanzania tuseme BASI!

CHADEMA
, muda ni huu someni harama za nyakati na mtuamshe ili tuseme BASI !
 
Unanchekesha. Wapi ulisikia CCM wanapigana au ushayasahau ya Shibuda ya Muafaka Arusha?

"Nyani huona ..... la mwenzake, .....le halioni"
 
Unanchekesha. Wapi ulisikia CCM wanapigana au ushayasahau ya Shibuda ya Muafaka Arusha? "Nyani huona ..... la mwenzake, .....le halioni"
CCM wanaua raia kupitia polisi na uwt eg sindano ya sumu kwa maruhumu sheiki kassim bin juma wa msikiti wa mtoro ,hawapigani
 
Unanchekesha. Wapi ulisikia CCM wanapigana au ushayasahau ya Shibuda ya Muafaka Arusha?

"Nyani huona ..... la mwenzake, .....le halioni"
Unapokuta unabishana na asiyejiona kwamba yeye ni mkubwa hata kwamba akienda bafuni..... ndo huyu mbweha!
 
Unanchekesha. Wapi ulisikia CCM wanapigana au ushayasahau ya Shibuda ya Muafaka Arusha? <br>
<br>
"Nyani huona ..... la mwenzake, .....le halioni"
<br>Unapokuta unabishana na asiyejiona kwamba yeye ni mkubwa hata kwamba akienda bafuni..... ndo huyu mbweha!
 
Ya Shibuda na ya Muafaka Arusha hayana impact kubwa na ya moja kwa moja kama umeme. Isitoshe, Chadema inayashughulikia hayo. Suala la umeme linatishia mustakabali wa nchi.
 
WanaJF

CHADEMA, tuongoze ili twende zaidi ya Shinikizo kwa Baraza la Mawaziri.

CHADEMA, itisheni maandamano ya Kitaifa ili watu tuseme basi!

CCM wapo vitani wao kwa wao na hatma ya nchi haijulikani, CHADEMA tuamshe watanzania tuseme BASI!

CHADEMA
, muda ni huu someni harama za nyakati na mtuamshe ili tuseme BASI !

Naunga mkono hoja
 
Ya Shibuda na ya Muafaka Arusha hayana impact kubwa na ya moja kwa moja kama umeme. Isitoshe, Chadema inayashughulikia hayo. Suala la umeme linatishia mustakabali wa nchi.

Hivi hujaona suala la umeme lilivyoshughulikiwa?

Zitto muulize, Rashid Muulize.

Nyinyi mpaka leo hamjajuwa nani aliyoitia hii nchi kwenye kiza? na mpaka leo haongelei kabisa swala la umeme. Ama kweli "kipofu haambiwi tazama".
 
hao watu wakishaamka wakasema basi ndo umeme utawaka...?? Kinachohitajika ni CHADEMA, mimi na wewe tuangalie rasilimali tulizonazo kama JUA, UPEPO, GAS ni kipi ambacho kinaweza kugenerate power easily and fast kama short term plan!!! On doing this TANESCO iachwe ijiendeshe kibiashara kusiwe na mikono ya Politicians katika maamuzi yao koz wengi au wote ni vilaza as far as Umeme is concern!!!

Project kubwa zianze kujengwa na warudishe system ya Diesel Genset kwa kila mkoa wa KITANESCO ambazo zitakuwa kama back up on mains failure!!! Hospitali zote zipatiwe standby genset kama makampuni ya simu walivyofanya katika minara yao na koz tunachangia (KULIPIA) matibabu then swala la mafuta libaki chini ya uongozi wa hospitali na hapa kusiwe na dealz za kipuuzi katika ununuaji wa mafuta ya Genset hizi!!!

Kama MBOWE alipokamatwa alipelekwa mpk Arusha kwa Ndege na haikua kwenye Bajeti then hata hili la umeme ni viongozi wetu hawataki kufanya maamuzi ya kututoa kwenye hali hii!!! kujenga UDOM sio uamuzi mgumu!! Kama Serikali itaondoa mgao wa umeme sasa then huo utakua zaidi ya kujenga UDOM!!!!
 
Yakiitishwa maandamano ya kudai umeme hadi mawe yatashiriki siku hiyo. Mijitu kama Faizamalay hawawezi kuelewa umuhimu wa umeme katika uchumi kwa kuwa wapemba ni wavivu wavivu wanafurahia kutokuwa na umeme ili wajilalie tu kwenye mikeka wakisubiri hadhana
 
huyu nyami mwenyewe ni ccm pure

Ndugu yangu St Ivuga

Kwani hata ningelikuwa CCM, mgao wa umeme sioni taabu yake? CCM ndiyo nini kama hali ndo hii?

Kwa jinsi umma wa watanzania hususani wa wale wa mijini walivyo choka na hii adha ya umeme, kama wakipata mtu au watu wa kusema tuingie mitaani....Magogoni hapatatosha!

Serikali wakipewa kibano kupitia nguvu ya umma, solution itapatikana tu!

Anyway, Mungu aepushie mbali...............
 
Unanchekesha. Wapi ulisikia CCM wanapigana au ushayasahau ya Shibuda ya Muafaka Arusha?

"Nyani huona ..... la mwenzake, .....le halioni"
huyu dada ni purely magamba.mara nyingi huwa anapinga hata vitu vya wazi mfano issue ya umeme haihitaji uwe na degree ndo ujue ccm na serikali yake wametuangusha kwenye suala la umeme.nakuomba uwe objective wakati mwingine.
 
Back
Top Bottom