Mgao wa Umeme Bado Unaendelea

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Kweli nchi hii inaelekea kubaya
Juzi maji yamlikatika tuna siku tatu hatuna maji maeneo ya tegeta

Asubuhi saa 11 najiandaa kwenye kazi umeme ukakatika mpaka natoka sa12.45
umeme ulikuwa haujarudi,

Nimekuja kazini umeme umekatika tokea sa5 asubuhi mpaka sasa sa 8 haujarudi generator
yetu imebuma mpaka sasa nasweat kama vile natoka mazoezini


Vipi huko ulipo umeme upo? mimi nik
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom