Mgao utaendeelea mpaka 2013 sioni pa kutokea-january makamba

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,052
Soma hiyo mh makamba .j akiwa anahojiana na mwandishi mmoja bw derrick na kuweka wazi tatizo lilitufikisha hapa
na ukweli halisi nini cha kufanya kwa maoni yake unahisi tutaweza tatua mgao wa umeme
kwenu wadau
 

Attachments

  • jan6.JPG
    jan6.JPG
    43.9 KB · Views: 57
  • jan5.JPG
    jan5.JPG
    213.5 KB · Views: 57
  • jan4.JPG
    jan4.JPG
    216.2 KB · Views: 49
  • jan2.JPG
    jan2.JPG
    184.6 KB · Views: 43
  • gen.JPG
    gen.JPG
    155.8 KB · Views: 52
Inabidi muwe wapole tuuu..me nshakubali hali hapa mwanza tunadunda tu kama kawa.....
 
Hayo anayajua January peke yake mimi nasubiri wiki tatu ziishe (yaani siku 21) na mpaka sasa tatu zimeshakwisha??!!

Wasitake kutuchezea hawa watu :(
 
January amekuwa Ikulu kwa miaka 5 na naweza kusema kipindi hicho ndio hasa serikali iliwekeza kwenye GIZA. Anapata wapi ujasiri wa kuongelea umeme leo hii? alimshauri nini Rais wakati akiwa Ikulu?
 
Back
Top Bottom