MGAO UNAANZA SOOON: Vuna umeme wa kutosha;

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
WanaJF nimewamis saaaana

Lakini leo nimekuja na habari njema ya taarifa ya kuanza mgao wa umeme :flame:
tuliouzoea :juggle: kama una hela za kutosha kanunue umeme wa kutosha
kama una ndoo kubwa tunza umeme wako
:washing:
Habari ndo hiyo nawatakia cku njema
 
Mhhhh!....Tumethubutu, Tumeweza na tunasonga mbele!!!!!:shock::shock::shock:
 
Back
Top Bottom