Mgao umeisha hadi Januari - SERIKALI

achamatusi ya nguoni tumelala gizani tangu jana usiku na mpaka tunaondoka akuna chai sababu ya umeme
atutake radhi huyo mbwa

hahahahah,mdau pole sana!ila sasa ndo serikali imethema
 
Huyo naibu waziri na waziri wake wanafiki tu. hakuna lolote. wanaogopa kisago bungeni maana Kikao cha Bunge cha mwezi wa 11 ndiyo kimekaribia. hawana lolote hao wajiuzuru tu. hamkumbuki wakati wa kupitisha bajeti ya wizara ya Nishati na madini? Umeme uliwaka mfululizo tukadhani tatizo limekwisha kumbe walitaka bajeti yao ipite!

ahaaa,kumbe n0vemba buuunge
 
Serikali kupitia naibu waziri wa nishati na madin imesema kuwa kuanzia sasa mgao wa umeme umeshaisha hadi mwezi january,amesema kuwa hilo limesababishwa na kujaa kwa baadh ya mabwawa na pia kuna kampuni(jina nimelisahau)imeweza kuingza megawati kadhaa kwenye gridi ya TAIFA!
Je hapo ulipo kuna umeme?
Sosi:radio ONE

kwetu hivi sasa hakuna umeme
 
serikali kupitia naibu waziri wa nishati na madin imesema kuwa kuanzia sasa mgao wa umeme umeshaisha hadi mwezi january,amesema kuwa hilo limesababishwa na kujaa kwa baadh ya mabwawa na pia kuna kampuni(jina nimelisahau)imeweza kuingza megawati kadhaa kwenye gridi ya taifa!
Je hapo ulipo kuna umeme?
Sosi:radio one
mkuu huku tandika azimio umeme umekatika ghafla kuanzia saa 8 mchana!
 
Sasa hivi umeme morogoro hakuna we unasema mgao umeisha labda kwao ndo umeisha
 
Kwahiyo siyo mgao umeisha bali wamepostpond tatizo..waache tu tutawanyonga hawa tena kama Gaddafi
Serikali ya Kik wete ni wasanii sana wamesema hakuna mgao wa umeme lakini leo Arusha mjini hatuna umeme tangu saa saba mpaka sasa....
 
achamatusi ya nguoni tumelala gizani tangu jana usiku na mpaka tunaondoka akuna chai sababu ya umeme
atutake radhi huyo mbwa
Yaani hawa jamaa ni wapumbavu kweli wanatuambia hakuna mgao wakati watu tunaendelea kupigika na mao au Arusha siyo Tanzania.......
 
waongo hao, wanasubiri bunge liishe ili turejee katiba mgao as usual, nyie mnakuwa kama wageni wa CCM na mawaziri wake!!!!!!!
 
Back
Top Bottom