Jacob Mkoba
New Member
- Aug 18, 2011
- 2
- 0
Mlipo ambiwa yafanyike mageuzi kwenye uchaguzi wa 2010 kanga, kofia na hizo flana mkaona CCM ni chama hayo ndio matokeo yake ni mgao mpaka 2015
Kumbuka kuwa inafungwa mitambo mipya na ni lazima kutokee usumbufu mpaka itakapo kamilika kufungwa. Kama unabisha muite hata fundi umeme nyumbani tu, kabla hajakuwekea nyaya mpya atakutaka mzime umeme kama unawaka seuse mitambo mikubwa.
Yeah, bajeti imepita then back to square one. Watu wanakula kuku kwenda mbele......
mgao hukuisha
nafuu ilikuja ili bajeti ipite tu..
sasa kila mtu ki mpango wake....