Mr. Miela
JF-Expert Member
- Aug 2, 2007
- 1,226
- 2,055
<br />Nauliza kama mgao umeanza upya..manake toka jana kijitonyama tanesco wanachukua umeme wao saa kumi na mbili asubuhi na kurudisha kumi na mbili jioni...hii imekaaje?
<br />
huku arusha tangu j.pili hadi leo asubuhi ndo umeme umeonekana na kwa muda huu wameshachukua mali yao!