MGAO TENA,mwezi July?

kichwat

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
1,819
587
Habari kutoka Mtera zinaashiria kuwepo kwa upungufu wa maji ktk mabwawa ya Mtera na Kidatu ifikapo July, kutokana na mvua haba.
Wenye jenereta ni wakati wa kufanya service.
Wazee wa welding tuongeze uzalishaji kipindi hiki.
 
Ahsante kwa kutujulisha, ila wategemea mionzi ya jua tuko kibao.
 
mweee, maskini sisi wadanganika, ngoja nianze kuweka akiba pesa kwa ajiri ya kiwese cha kibatari
 
Back
Top Bottom