mgando kutoka ukeni

Osama

Member
May 3, 2011
61
10
jamani naomba nisaidiwe mie mke wangu anatoka madude meupe kama mayonaiz huko ukeni kiasi kwamba ukichomoa dude linatoka na hayo madude na yana kiharufu fulani hivi unpleasant. Je itakuwa ni ugonjwa gani na matibabu yake ni yepi?
 
si muende hospitali.....

wote tunatoa huo utoko,lakini hausmell....huyo mkeo labda ana infection,nendeni mkamuona daktari....
 
ok inatakiwa dose gani wakuu?maana hospital siku hizi ni biashara kumuona doctor elfu 10 kufungua file elf 5 so nikimaliza humu humu itakuwa mzuka maana hiyo elfu 15 itafaa kununua full dose
 
Hiyo ni vagina candidiasis, fungus ya ukeni, hapo ni dawa tu, cotrimazole pessaries kwa siku sita au gynazole pessaries kwa siku sita, inapachikwa ukeni kila usiku mkeo anapoenda kulala. Inatibika wahi mapema.
 
ok inatakiwa dose gani wakuu?maana hospital siku hizi ni biashara kumuona doctor elfu 10 kufungua file elf 5 so nikimaliza humu humu itakuwa mzuka maana hiyo elfu 15 itafaa kununua full dose

Lol kaaaaz kwelkwel....nenda basi walau pharmacy watakushauri atumie dawa gani.
 
Au mwulize anatumia vidonge vya majira??kama anatumia nayo inaweza kuwa sababu!!
 
cotrimazole pessaries au gynazole pessaries(ni nzuri zaidi) kila usiku kidonge kimoja unapachika ukeni.
 
Hiyo ni vagina candidiasis, fungus ya ukeni, hapo ni dawa tu, cotrimazole pessaries kwa siku sita au gynazole pessaries kwa siku sita, inapachikwa ukeni kila usiku mkeo anapoenda kulala. Inatibika wahi mapema.

hio vagina candidiasis...ndio inaproduce foul smell???hii sio STI?
 
Na pia kuna vidonge vya kumeza ukienda pharmacy ukiwaeleza watakupatia vinapatikana over the counter.
 
Hiyo ni fungus ya ukeni(vaginal candidiasis)
Cause: Recent use ya strong antibiotics, ikaangamiza normal bacteria flora wa ukeni na kusababisha excessive growth ya fungus:
Tiba; Clotrimazole pessaries{anti-fungal za kuweka ukeni} wakati wa kulala, kwa siku sita.
Kinga: Epuka kusafisha ukeni na sabuni au antiseptics kali and epuka matumizi ya broad spectrum (strong) antibiotics bila sababu za msingi
 
Saaaana na huwa linajirudia baada ya muda. Kama malaria vile unatibu leo unapona unakaa unasahau halafu inakukamata tena

Aisee je ina athari kwa upande wa pili? Maana dushelele si ndio linaingia kunako na linatoka na mayonaizi na mengine si yaningia kwa ndani ya dushelele,vp madhara yake kwa m/me?
 
Aisee je ina athari kwa upande wa pili? Maana dushelele si ndio linaingia kunako na linatoka na mayonaizi na mengine si yaningia kwa ndani ya dushelele,vp madhara yake kwa m/me?

Haina madhara yoyote kwa mwanaume kwa upande wa dushelele. na hakuna kinachoingia ndani ya dushelele kwa nafasi ipi kwanza mpaka iingie...ila haileti picha nzuri (kinyaa) kitu kimeingia safi kinatoka chafu...
 
pole kaka mshauri shemeji pia awe anakufanyia usafi huko kwa bibi mara kwa mara asitumie sabuni detol ya maji ni nzuri zaidi na maji ya uvugu vugu kwa pia muulize alishawahi kutumia shabu ?
 
Back
Top Bottom