Mganda

Vawulence

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
1,928
2,101
Huenda hapa si mahali pake ila ninaomba yeyote anayeweza kuweka hapa Mp3 ya ngoma ya Mganda au ngoma yeyote toka Tanzania aipost kwani ninataka kuwafundisha watu hapa Ulaya ila najua kuicheza ila midundo yake inanipa shida. Pia itakuwa vizuri kama nitapata video ila isiwe ya youtube. Mtakuwa mmenipa msaada mkubwa sana. Asanteni.
 
Back
Top Bottom