Mgana Msindai ashinda uenyekiti wa CCM mkoa wa Singida

T2015CCM

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
7,931
987
Msindai maarufu kama crdb,mbunge mstaafu wa jimbo la iramba amewagaragaza wapinzani wake akiwemo kijana wa miaka 34 amani rai,hongera sana
 
Huyo kijana hakujua kuwa mafisadi wa zamani wanarudi kwa kasi??????????????????alihonga kingi kapata kingi
 
Hongera sana CRDB kwa kuukwaa ukubwa wa magamba mkoani Singida! Kazi unayo mwaka 2015. CDM hawataogopa jina wala umbo lako!!
 
Mjomba hongera kwa ushindi.kaz unayo kuisafisha ccm mbele wa watu wenye iman na cdm
 
2015 nasikia atagombea tena ubunge! Nitamtoa utumbo nje kwani na mimi nitagombea ubunge wa jimbo hilo hilo la Iramba mashariki kupitia chama makini CHADEMA. Uwezo na sifa ninazo.
 
2015 nasikia atagombea tena ubunge! Nitamtoa utumbo nje kwani na mimi nitagombea ubunge wa jimbo hilo hilo la Iramba mashariki kupitia chama makini CHADEMA. Uwezo na sifa ninazo.

Unayo kura yangu, tuombe uhai.
 
2015 nasikia atagombea tena ubunge! Nitamtoa utumbo nje kwani na mimi nitagombea ubunge wa jimbo hilo hilo la Iramba mashariki kupitia chama makini CHADEMA. Uwezo na sifa ninazo.

Tutakutana huko mimi natokea kata ya NKINTO
 
MGANA MSINDAI, HONGERA!!!!!!! AMAN RAI, hongera mdogo wangu, umeonyesha vijana tunaweza hata kama maji ya kunywa kwetu ni issue kulingana na ujinga wa wapiga kura, BRAVO!!!!!.
Msindai maarufu kama crdb,mbunge mstaafu wa jimbo la iramba amewagaragaza wapinzani wake akiwemo kijana wa miaka 34 amani rai,hongera sana
 
Hapana sio mwigulu ni mama mmoja jina ni salome tena tangu achaguliwe hajawah hata kufika kijijni
Anaitwa Salome Mwambu,mwanamke mmoja asiyejua bungeni amekwenda kufanya nini hata baada ya kuwa mkuu wa chuo cha ualimu Mpwapwa miaka mingi
 
Msindai ndiye aliyenifanya nijue kuwa katika uendeshaji wa serikali tanzania kuna rushwa kati ya taasisi na taasisi.nikiwa bado mgeni ktk utumishi wa serikali za mitaa,nilitambua kuwa ili taarifa ya halmashauri ipite kirahisi mbele ya kamati ya bunge ya mahesabu ya fedha ya serikali za mitaa (laac) lazima lipelekwe fungu la kutosha.mwenyekiti wa laac alikuwa msindai.kusema kweli ilifika wakati hakuna halmashauri iliyopita mbele ya msindai bila kupeleka chochote.kwa mzee huyu ufisadi sawa na damu mwilini
 
Siyo Mbunge mstaafu Mkuu. Huyu alishindwa kwenye kura za maoni. So ni Mbunge aliyeshindwa kutetea kiti chake..
Very true. na hilo jina la CRDB maana yake nini? Njia ya CDM kuongeza wabunge kutoka Singida nyeupeeeeee.
 
Msindai ndiye aliyenifanya nijue kuwa katika uendeshaji wa serikali tanzania kuna rushwa kati ya taasisi na taasisi.nikiwa bado mgeni ktk utumishi wa serikali za mitaa,nilitambua kuwa ili taarifa ya halmashauri ipite kirahisi mbele ya kamati ya bunge ya mahesabu ya fedha ya serikali za mitaa (laac) lazima lipelekwe fungu la kutosha.mwenyekiti wa laac alikuwa msindai.kusema kweli ilifika wakati hakuna halmashauri iliyopita mbele ya msindai bila kupeleka chochote.kwa mzee huyu ufisadi sawa na damu mwilini

Maneno yako ni kweli kabisa, Mgana Msindai enzi za uenyekieti wake wa kamati ya bunge ya serikali za mitaa bila kutoa rushwa hesabu hazikuwa zinapita na ilikuwa wazi wazi na ndio alikotajilikia huyo CRDB!!
 
Izaaa Songela sana .................. Mbwana weee!....... n'kyalu mukunza n'kati nama.... kukiona 2015 he he he he ha ha ha ha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom