Mgambo wapata ajira

matyoka

Senior Member
Jul 26, 2016
120
75
Mgambo waliojituma wakishirikiana na jeshi letu katika mazoezi ya amphibious landing kule bagamoyo jana...wamepewa promosheni na Rais wetu na kutakiwa kuajiriwa na JWTZ..
;My take
mgambo wengine waheshimiwe
kwani wana mchango pia kwa taifa...
 
Uhakiki hautazidi miezi miwili, mgambo waajiriwe na jwtz, Oljoro kuna watu kuyoka jkt kwendq mafunzo ya TPDF tokea mwezi wa tatu adi leo wamebaki kua wazalendo tu....kozi inazidi kuyeyuka tu.

Kweli wanasiasa wanajua kuchezea akili ya watu waraisi kama waTanzania.
 
Du kila kitu siasa wakati watu wana machungu na hasira sema ......wanacheka machoni lakini moyoni wanauchungu wa asilimia mia......hata kama utawala bora lakini hili la ajira serikali imechemkaaaaaaaaaaaa., vijana tunaumia.
 
Kuna kitu akiko sawa upande wa ajira, hivi ukiwa rais wa nchi ukisimama na kusema ajira adi mwaka kesho mwezi wa tano kwani bado tunaweka mambo sawa nani atakaekupiga?
 
ASEME NA AWEKE WAZI ILI VIJANA WAENDELEE NA KAZI ZAO ZA MSINGI KWA AJILI YA UCHUMI WA NCHI SIO SIASA.
 
Hakuna neno sipendi kulisikia kama Ajira, Baada ya may then after budget mwezi wa saba, uhakiki then uhakiki wa BVR
 
Back
Top Bottom