Mgambo wa city wanisweka rumande jana

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,179
85,337
JAMANI mwenzenu jana na mimi nilionja adha ya kubambikwa kesi.... nitarudi muda si mrefu kusimulia kwani sasa naenda kuwaona na kuangalia utaratibu wa kupelekana mbali unakaaje, ila kwa kifupi ni kwamba ilikuwa kesi ya kuwauliza kwa nini wanafanya kazi bila vitambulisho na hii ilikja baada ya wao kumkamata dada eti kiji-stationery chake hakina dust-bin.

Baadae
 
Du....
Isije ikawa umekamatwa kwenye mzunguko wa Shule ya Uhuru ukilimwaga kojo mchana kweupe, halafu unatuzuga kuwa uliwauliza mgambo vitambulisho baada ya wao kutaka kumnyanyasa dada wa stationary kwa kukosa dust bin
 
Aahh Kiranja mkuu, siwezi kuwa mjinga hivyo, sidhani kama sinza kuna shule ya Uhuru...au an wewe ulipata kidogo kwenye ule mgao??? Full stori baadae
 
Lete hako kamchapo Elli, maana kiukweli mgambo wa jiji mara nyingi huibuka na yasiyotarajiwa
 
Aahh Kiranja mkuu, siwezi kuwa mjinga hivyo, sidhani kama sinza kuna shule ya Uhuru...au an wewe ulipata kidogo kwenye ule mgao??? Full stori baadae

acha bra bra fuata sheria
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom