Mfung'wa Mwanamme (drag queen) atumikia kifungo miaka mitatu kwenye jela ya wanawake

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,172
23,975
UKISTAAJABU YA MUSA UTAONA YA FILAUNI.

Habari zingine kama hii zinawatia watu wasiwasi na kile kinachoendelea ndani ya dunia yetu hii. wengine wanadiriki kusema, hizi ni dalili za mwisho wa dunia, wengine wanakanusha na wanasema, haya ndiyo matokeo ya maendeleo yanayorutubiswa na misingi ya kuwa huru katika fikra na mawazo na kuwa na maamuzi pekee katika maisha. Mimi nasema yangu ni macho na ukishangaa kwa hili basi ujihesabu bado uko kwenye dunia ya Mtemi Mkwawa.

Hebu pata hii habari na utafakari kutoka nchi 'zilizoendelea'.

"A man who dresses as a woman said the city of Nashville and the company that operates one of its prisons should pay him millions for putting him behind bars for three years with women. Karla Brenner said once the female prisoners found out he had male anatomy, it became a living hell. "The big hair, the makeup - I am an entertainer, a drag queen. That basically means a man who enjoys dressing as a woman. It's not a woman. I have no intention on being a woman - never, ever have," Brenner said. But when Brenner was convicted of felony theft for stealing a python purse in Green Hills, an already complicated life got more complicated. Brenner said he was told to say nothing, to pretend he was a woman and go to the women's prison. Officials said Brenner even checked a box that said he was a woman."

[video=youtube_share;pZYeknPUKGw]http://youtu.be/pZYeknPUKGw[/video]

Habari kwa hisani ya 4 News
 
Duh kwa hiyo aluwa anawahudumia wanawake wafungwa wote gerezani.....!!!
Kafaudu......!!
 
She is very woman to pass for a Man ,let her dance to her own doing. ha haaa analalamika bure tu kwanza atakuwa kafaidi sana kufungiwa na hao viumbe kwa miaka yote mitatu anajisevia tu.
 
Back
Top Bottom