Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,159
- 4,443
Wana Jf naombeni ufafanuzi hii imekuwa inanichanganya sana, mimi nilikuwa naamini kwamba wenzetu Waislamu watakapoanza Mfungo itapelekea demand yaani mahitaji ya vyakula masokoni kupungua sana hivyo vyakula vitakosa masoko na vitashuka sana bei, lakini cha ajabu mfungo umeanza na vyakula masokoni vimepanda bei kwasababu vinahitajika sana kipindi hiki cha mfungo, sasa najiuliza inakuweje kipindi ambacho watu wamefunga kula ndo chakula kinahitajika zaidi?