Mfundishe mtoto ukweli

dicksonleonard

New Member
Aug 31, 2012
4
1
Baba mmoja alikuwa na mtoto wake wa kiume akawa anataka kumlea ktk maadili mema ili asifuate ya dunia.
Siku moja mtoto alikuwa akicheza na wenzake, mara wakakorofishana mwenzake akamtukana ''KUMAMAYE''
Yule mtoto akalia na kwenda kumwambia baba yake, ndipo babake alipombembeleza na kumsii asiyajali hayo. Baadaye mtoto akamuuliza babake, eti baba kumamaye maana yake ni nn? Baba kwa sb hakutaka mwanaye ajifunze tabia mbaya akamdanganya kwa kumwambia maana yake ni ''MAKOCHI''
Siku nyingine mtoto akiwa ktk kucheza akatukanwa tusi jingine. ''****** WE'' vivyohivyo mtoto akaenda kwa babaye kujua maana ya tusi hilo. Ndipo babaye akamwambia maana ya ****** ni MGENI.
Siku nyingine tena akatukanwa tusi jingine, ''UNAFILWA WEWE'' Kama kawaida yake akaenda kwa babake kujua maana ya kufilwa. Babake akamwambia maana yake ni KUOGA.
Siku nyingine tena akatukanwa, ''****** WEWE'' Safari hii babake akamwambia maana yake ni begi.

Siku moja baba alikuwa bafuni anaoga, wakaja wageni 3 - dadake na baba, shemeji yake(yaani mme wa dadake) na mtoto wao. Wakati wageni wanagonga yule mtoto alikuwa sebuleni, kwa hiyo aliposikia hodi aliinuka na kufungua mlango. Mazungumzo yalikuwa hivi:

MTOTO: Karibuni ******* wetu, karibu mkae kwenye makumamayo yetu, tundikeni mikundu yenu kwenye misumari
hapo juu.
WAGENI: We mtoto mbona unaongea mambo makubwa hivyo, babako yuko wapi?
MTOTO: Baba yuko bafuni anafilwa.
 
Sijafurahishwa na matusi yaliyofurumushwa katika hii topic hata kama mwanzisha mada alikuwa na lengo la kufurahisha watu.
 
Du n mambo yakutisha na ya kwel hata m nashaur wanajf wenzangu mcpende kutukana mana mtoto akisikia ataanza nae ku2kana af akm2kana bib/babu yake atapata laana buree
 
cjaelewa hzo desh dehs na kama uliona haiwezi chekesha na ni matusi matupu ambayo huwezi andika basi usingepost
 
Back
Top Bottom