Mfumo wetu wa Elimu

lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,466
9,028
Angalia hii picha (katuni) aloafu ulinganishe na hizi thread hapa chini.
Isipoeleweka samahani lakini ndio uhalisia wa elimu yetu na huenda isizae lolote la maana mbali na kutumia pesa nyingi kwenye utekelezaji wake!
Education system.jpg
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...idato-cha-nne-kunaharibu-shule-za-vipaji.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/270450-mwigulu-nchemba-kirusi-cha-elimu-tanzania.html
https://www.jamiiforums.com/habari-...wageni-waalkwa-uwiano-umekaaje-toa-maoni.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...islam-hawana-imani-na-baraza-la-mitihani.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/267504-shule-za-binafsi-zifutwe.html
 
Kweli shule za binafsi zifutwe, zinaongeza ubaguzi katika jamii, sanasana zinazalisha maDJ na ma MC kibao mtaani.
 
Kweli shule za binafsi zifutwe, zinaongeza ubaguzi katika jamii, sanasana zinazalisha maDJ na ma MC kibao mtaani.
niliwahi kusikia mtu mwingine akisema wale aina ya vijana wa 'promotions' ni products za hizo shule pia! Lakini hii picha ina-portray kuwa kuna tofauti kubwa kutoka kwa mfano IST, Diamond Primary ....mpaka hapa Shule ya Msingi Bumbiire lakini tunapewa mtihani mmoja wa kitaifa!
...yaani nyoka, tembo, nyati, samaki, ngedere nk wanapewa mtihani wa kupanda mti, anayeshindwa eti AMEFELI mtihani!

 
Back
Top Bottom