Mfumo wa Vyama vingi na Katiba ya chama kimoja

Mnaonaje kama tukifuta vyama vya siasa ila tukaendelea kuwa na Bunge na wanaogombea ubunge wawe wanasimama kama wagombea binafsi? Rais atokane kati ya Wabunge. Ikimaanisha kuwa wabunge wapige kura kumchagua Rais wa nchi toka miongoni mwao. Ili mtu awe rais sharti apate angalau asilimia 70% ya kura za wabunge. Rais akiisha chaguliwa achague Mawaziri ambao hawatakiwi kuwa ni wabunge kasoro waziri mkuu tu.

Huu utakuwa mfumo mgumu sana.
Rais achaguliwe na bunge?
Atakuwa Rais wa BUNGE.
 
The idea is good lakini as Makyao said haifai Rais akachakuliwa toka miongoni mwa wabunge. Rais naye awe independent candidate among other candidates kama watakavyokuwa wagombea ubunge. And as somebody else cautioned tutakuwa tunarudi nyuma kwa yote haya. Kama wengine wameweza kufaulu kujenga nchi zao katika mfumo wa vyama vingi why not us? Kwa nini tu-take trouble ya kutafuta njia mbadala? Tuna mapungufu gani ya kushindwa kwenda na wakati na kuweza ku-cope na challenges zinazoendana na mfumo uliopo?

Solution ya matatizo yetu ni KUCHUKUA MAAMUZI MAGUMU, iwe ni kwenda nyumba hadi nyuma kuwaelimisha watu kuhusu matatizo yaliyopo na kupata support yao katika kuyatatua kwa njia muafaka ama kwa Viongozi wa ngazi ya juu kukaza buti na kuacha lelemama na ubishoo katika masuala ya mustakabali wa nchi.
 
Huu utakuwa mfumo mgumu sana.
Rais achaguliwe na bunge?
Atakuwa Rais wa BUNGE.

Rais hatakuwa wa Bunge bali wa Wananchi lakini atawajibika kwa wananchi kupitia Bunge kwani Wabunge ni wawakilishi wa wananchi. Mfumo huu mpya utatupunguzia gharama kwa kiasi kikubwa.
 
The idea is good lakini as Makyao said haifai Rais akachakuliwa toka miongoni mwa wabunge. Rais naye awe independent candidate among other candidates kama watakavyokuwa wagombea ubunge. And as somebody else cautioned tutakuwa tunarudi nyuma kwa yote haya. Kama wengine wameweza kufaulu kujenga nchi zao katika mfumo wa vyama vingi why not us? Kwa nini tu-take trouble ya kutafuta njia mbadala? Tuna mapungufu gani ya kushindwa kwenda na wakati na kuweza ku-cope na challenges zinazoendana na mfumo uliopo?

Solution ya matatizo yetu ni KUCHUKUA MAAMUZI MAGUMU, iwe ni kwenda nyumba hadi nyuma kuwaelimisha watu kuhusu matatizo yaliyopo na kupata support yao katika kuyatatua kwa njia muafaka ama kwa Viongozi wa ngazi ya juu kukaza buti na kuacha lelemama na ubishoo katika masuala ya mustakabali wa nchi.

Hapo ndipo mahali muafaka. Ngoma ni kufika hapo.
 
Mnaonaje kama tukifuta vyama vya siasa ila tukaendelea kuwa na Bunge na wanaogombea ubunge wawe wanasimama kama wagombea binafsi? Rais atokane kati ya Wabunge. Ikimaanisha kuwa wabunge wapige kura kumchagua Rais wa nchi toka miongoni mwao. Ili mtu awe rais sharti apate angalau asilimia 70% ya kura za wabunge. Rais akiisha chaguliwa achague Mawaziri ambao hawatakiwi kuwa ni wabunge kasoro waziri mkuu tu.

Mataifa yote yaliyoendelea duniani yalipitia udikteta, kuheshimiana ndiko muhumu.

hapo bravo, futa vyama vyote tufanye kama anavyosema huyo mdau, napo tutaanza kwenda mbele, lakini kwa ujinga huu hatufiki popote as a nation.

Rwanda wamefunzana adabu wako fiti kwa sasa, kenya wamefumuana kidogo sasa kuna heshima, sisi ni dharau tupu as if familia haiza mzazi / mlezi.

Hadi watu wanapofikia kusema hivi ujue tunakoelekea kubaya na wameona mfumo huu haufanyi kazi kabisa na hauwezi kutufikisha popote ki maendeleo sasa ni kwa nini kuwa na mfumo ambao umeshindwa haufanyi kazi?

Uchaguzi Uchaguzi, Vyama, Vyama what? hapa ndipo tunapata viongozi wasio waadirifu, wavivu wa kufikiria, wala rushwa sababu na hivi vyama vya siasa kutuundia serikali isiyo makini ya kupendeleana, urafiki na undugu-naization.

Nafikiri demokrasia ya kweli si vyama vingi - wala si chama kimoja - futa vyama let us move on, tuwe na serikali tu inayoriport moja kwa moja kwa wananchi that it.

Mtachaguana chaguana at the end of the day hamfiki popote, mnaneemesha wenzenu tu mnaojidanyanga kuwapa madaraka eti wawatumikie kumbe wanajaza mitumbo yao na familia zao. mtazalisha vi epa,kagoda, melemeta, mwananchi gold, vijisenti, vijirichardmoduli, vijikiwila na mengineyo kila Kukicha kama mnaendelea na mfumo huu.
 
Many thanks ELNINO.

Watanzania naomba tusahau maendeleo ya kweli kupitia mfumo huu wa vyama vya siasa. Kikubwa ni kuongezeka kwa UKABILA WA KISIASA KILA KUKICHA.
 
Mnaonaje kama tukifuta vyama vya siasa ila tukaendelea kuwa na Bunge na wanaogombea ubunge wawe wanasimama kama wagombea binafsi? Rais atokane kati ya Wabunge. Ikimaanisha kuwa wabunge wapige kura kumchagua Rais wa nchi toka miongoni mwao. Ili mtu awe rais sharti apate angalau asilimia 70% ya kura za wabunge. Rais akiisha chaguliwa achague Mawaziri ambao hawatakiwi kuwa ni wabunge kasoro waziri mkuu tu.

Mmh
 
Mataifa yote yaliyoendelea duniani yalipitia udikteta, kuheshimiana ndiko muhumu.

hapo bravo, futa vyama vyote tufanye kama anavyosema huyo mdau, napo tutaanza kwenda mbele, lakini kwa ujinga huu hatufiki popote as a nation.

Rwanda wamefunzana adabu wako fiti kwa sasa, kenya wamefumuana kidogo sasa kuna heshima, sisi ni dharau tupu as if familia haiza mzazi / mlezi.

Hadi watu wanapofikia kusema hivi ujue tunakoelekea kubaya na wameona mfumo huu haufanyi kazi kabisa na hauwezi kutufikisha popote ki maendeleo sasa ni kwa nini kuwa na mfumo ambao umeshindwa haufanyi kazi?

Uchaguzi Uchaguzi, Vyama, Vyama what? hapa ndipo tunapata viongozi wasio waadirifu, wavivu wa kufikiria, wala rushwa sababu na hivi vyama vya siasa kutuundia serikali isiyo makini ya kupendeleana, urafiki na undugu-naization.

Nafikiri demokrasia ya kweli si vyama vingi - wala si chama kimoja - futa vyama let us move on, tuwe na serikali tu inayoriport moja kwa moja kwa wananchi that it.

Mtachaguana chaguana at the end of the day hamfiki popote, mnaneemesha wenzenu tu mnaojidanyanga kuwapa madaraka eti wawatumikie kumbe wanajaza mitumbo yao na familia zao. mtazalisha vi epa,kagoda, melemeta, mwananchi gold, vijisenti, vijirichardmoduli, vijikiwila na mengineyo kila Kukicha kama mnaendelea na mfumo huu.

Wananchi wameshashtuka ndo mana hawakwenda kupiga kura kwenye uchaguzi wenu wa serikali za mtaa na october sijui kama mtaona mtu,mkishachaguliwa tu vichwa inawavimba wenzenu wote mnawaona hamnazo. tuchaguae Mfalme
 
Muanzisha thread this is very serious topic uliyoianzisha, ila weka sababu za msingi na sisi tutajadili

In short Yes, sioni faida ya vyama hivi vyoote

Tell me, Mkwawa, Mirambo, Mangi Sina, Rumanyika, Mputa,walikuwa na vyama gani??

Unless mtu anayetaka viwepo aeleze mafanikio ya hivi vyama kuanzia CCM mpaka upinzani!

nitarudi...
 
Waberoya,

Asante kwa changamoto uliyoitoa,

Sababu kuu kuliko zote ni kuwa Mfumo wa vyama unaua utaifa. Badala ya maslahi ya taifa kuwekwa mbele, maslahi ya chama na wanachama wake ndiyo yanayopewa umuhimu wa juu kuliko jambo lolote lile. Na mbaya zaidi hatuzungumzi kama Taifa/Watanzania bali tunazungumza kama wanachama wa vyama vyetu. Angalieni jinsi rasilimali za taifa zinavyotumika isivyopasa chni ya mfumo wa vyama.

sababu nyingine za msingi ni:

1. Vyama vinajenga ukabila wa kisiasa ambao unaleta chuki za hali ya juu kati ya watu wa taifa moja. Tujiulize kwanini wanachama wa vyama tofauti hawapendane kwa dhati wakati wote ni Watanzania??. Huu ni ubaguzi mbaya sana ndani ya taifa moja.

2. Vyama ni chanzo kikuu katika kuimarisha mizizi ya rushwa na kufanya vita ya kuikomesha kuwa ngumu sana---Angalieni matumizi ya pesa katika chama tawala yalivyo ya kutisha. Mwenyekiti naye amekiri kuwepo kwa tatizo hili katika chama chake.

3. Mfumo wa vyama unawatenga Watanzania wasio katika chama tawala na kuwaona kama si sehemu yao na hawafai kupewa nafasi muhimu katika kulitumikia taifa lao na watu wake.

4. Vyama vinaua taaluma. Angalieni idadi ya wasomi na maprofesa wanavyopigana vikumbo kila baada ya miaka mitano kwa ajili ya kutaka kuwa wabunge.

5. Ni ngumu sana kujenga uzalendo na moyo wa dhati kwa ajili ya kulitumikia taifa letu chini ya mfumo wa vyama.

6. Watanzania wasio wanachama wa chama chochote cha siasa wamenyimwa fursa ya kuwatumikia Watanzania wenzao. lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa ili uweze kugombea nafasi ya uongozi.

Sababu ni nyingi ila naomba niishie hapa kwa leo.
 
Nimekuwa natafakari mchango wa vyama vya siasa katika maendeleo na ustawi wa mataifa mbalimbali na nachelea kusema vyama vya siasa kwa kiasi kikubwa ni chanzo cha mifarakano, wizi, ufisadi na kudumaa kwa maendeleo ya mataifa mengi duniani.

Hivi ni lazima tuwe na vyama vya siasa? Tusipokuwa navyo hatuwezi kuendesha nchi?

......aulizaye ataka kujua.
 
kaka utaambiwa " Demokrasia ya kweli lazima uwe na vyama vya siasa, tena siyo kimoja vingi."

Tatizo kuhakikisha je demokrasia ya kweli ni vyama vingi? hapo inakuwa tatizo.

Binafsi ningependa tusiwe na vyama ili tufanye kazi kwa malengo, hizi siasa zinakuwa propagada - yaani hakuna uhakika wa kitu mwanasiasa atakachokuambia.
 
Soma makala ya Profesa Mbele kwenye gazeti la RAIA MWEMA la wiki iliyopita kuhusu mada hiyo.
 
:eek:hwell:Haya ndio maneno aliotoa Mh J S Warioba, hakuwa na la maana la kusema alipohojiwa na BBC swahili katika kuadhimisha miaka 50 ya uhuru.
Hakuongea au kuulizwa kuhusu vyombo vya usalama kuwabugudhi na kuwakamata wanaoandama kuhusu maswala ya katiba, machinga na kupinga matokeo ya uchaguzi.
Je Mh Warioba ni gamba au sio gamba? Je Kuhusishwa kwake na CELTEL na AIRTEL ambao wanaihujumu TTCL inaonesha msimamo gani kwetu wa TZ?
Huyu Mh inawezekana ni mwadilifu ila nyie wadau mnasemaje?:disapointed:
 
Wana JF naomba mawazo juu ya hili.

Kuwa na idadi kubwa ya vyama vya siasa nchini ndio kipimo cha kukua kwa Democracia ?
Ama ni; 1.Njia ya kuharibu upinzani mkubwa ?
2.Njia ya kuwagawa watanzania ?
3.Njia ya kuvunja nguvu ya wapinzani ?

:A S-coffee:
 
Hapana coz ni kuongeza gharama zisizona maana &kupunguza amani mfano mzuri ni TZ.
Ila mbona U.S.A Kuna vyama 2.
Structual Adjustment Programs (S.A.Ps) ime2haribg mno.
 
Ebu fikirieni wabunge 300 kila mmoja ana wazo lake..Budget ataiandika na kuiwasilisha nani?.. bunge la Upinzani litakuwa lipi?..Nani atajibu nini ikiwa waziri naye kachaguliwa na watu lakini alikuwa mpinzani wa rais...Hapo sijui itakuwaje!
 
Mkitaka mgombea binafsi mtakuwa mmehalalisha mapilau.
Nchi nzima itakuwa inanukia mdalasini, iliki, pilipili manga, tangawizi na vitunguu saumu ikifika oktoba 2015....
Msisahau na maji ya sharubati.
 
Mfumo wa vyama vingi vya siasa upo kwa ajili ya kufanya ukomavu wa demokrasia na siasa kwa ujumla ili siasa iyo komavu izae maendeleo endelevu.
Tusitumie mfumo huu, kama sehemu ama hifadhi ya UNAFIKI kwa kudai kuwa tunapata maendeleo ilihali ukweli ni kuwa viongozi baadhi wameugeuza kuwa chombo cha DEMOKRASIA NAFKI, inayokandamiza na kuwaaminisha watu kuwa wameendelea ilihali wangali MASIKINI WAKUBWA. Tanzania na mabadiliko mapya 2015
 
Last edited by a moderator:
Sizani kama nitaeleweka kwa wengi swali hili nimeliuliza kwa Wajuvi wa masuala ya Siasa hasa ktk kipindi ambacho tumeshuhudia vurugu wakati wa Kampeni za Chaguzi ndogo ambazo zimehitimishwa Jana Je Tunaelekea wapi kama Taifa,Kwa maoni yngu nibora tubaki na chama kimoja kama mfumo wa vyama vingi umetushinda,Ni Rahisi sana kuipoteza amani lakini kuirudisha nikazi kubwa sana
 
Back
Top Bottom