olele
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 1,303
- 1,559
habari zenu wakuu,
naomba msaada kujua kuhusu hii system ambayo nchi yetu inaingia mwishoni mwa mwaka huu, kuzima mitambo yote ya
analog na kuingia kwenye mfumo mpya wa digital, naomba mwenye kujua hasa what is all about yaani nini kinaathirika, kama vile hizi tv zetu zitaathirikaje au hazitafanya kazi kabisa watu wanunue tv za aina gani? vipi kuhusu radio ni radio gani zitakua zinafunction au zenyewe hazihusiki, vipi kuhusu radio station coz radio station zinaanzishwa kila siku wao waponaje hapa, naomba msaada au ni wapi naweza kupata majibu haya mayb kuna web za serikali zinatoa elimu hii,
kwenu ma great thinker.