Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,270
- 105,445
Ndugu kwa nini usiulize nini tofauti ya mfumo huo kabla hujaanza kuchallenge kitu usichokijua. Huo ndio uungwana, elewa kwanza nini kipya kwa kuuliza then criticize or admire.
Rejea bandiko namba 7, unaweza kufanya watu waamini hujui kusoma ama huna umakini.