Mfumko wa massage salon dar ni mkubwa sana kwa sasa na unatisha

kazikubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
597
143
Imekuwa kawaida katika vyombo vya habari kusikia matangazo yanayohusu huduma ya massage. Lakini katika matangazo yao utasikia kuna mabinti wachangamfu na wakuvutiana, huta juta kufanya massage kwao. Naomba wenye ufahamu kuhusu haya watufahamishe:-

  • kuhusu ongezeko hili la kasi za hizi salon zinaenda sambamba na uelewa wa watu kufanya massage?
  • Kwanini wasiseme kuwa wanao therapist waliobobea badala yake wanatia msisitizo kwa hayo maneno meusi hapo juu. Je matangazo hayo yanalenga jinsia fulani tu.
  • Kuna nini huko jamani maana na mimi nataka kujaribu ili nisijute.
 
Mbona zipo mda mrefu sana hizi massage parlor? Nenda ukanda wa kinondoni pale ni madangulo flani hivi,huduma zote zipo kunyonywa pipi,kula kei,kula GOti fresh ,hela yako tu!! Kazi ni Kwako!
 
wakazi wa dar wanaongezeka na mihangaiko ni mingi...so lazima massage parlor ziongezeke! uchovu bana ambao siku zote hutulizwa na mabinti wachangamfu na wakuvutia,
 
Back
Top Bottom