Mfuko wa wahanga wa Mauaji ya Raia CHADEMA

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
246
Ni maoni yangu kuna haja ya CHADEMA kuanzisha mfuko wa kusaidia watoto wanaoachwa na wahanga wa mauuaji yanayofanywa na polisi please please msiwaache hao watoto hata muwasomeshe japo hata kama baba zao hawakuwa wanachama wa CHADEMA
maoni tuu CCM msijenge chuki
 
naunga mkono lakini nina wasiwasi michango itahujumiwa na haya makampuni ya simu sijui m-pesa n.k hata benki zinaweza kuhujumu lakini wajaribu..ccm have stretched their dirty ugly hands all over
 
kweli mkuu, nakuunga mkono. kuna haja ya kuanzisha huo mfuko. tunaotaka mageuzi tupo wengi sana na tunapinga uonevu wa mchana kweupe unaofanywa na ccm MAJAMBAZI/WAUAJI kwa kutumia polisi.




Tuendeleeni kuwaelimisha wananchi, waelimike ili waling'oe madarakan hili li serikali la ccm MAONGO/MAJAMBAZI/MAFISADI/WAUAJI.
 
wauwe ccm chadema wasomeshe mimi naona kama ni mfuko basi ni wa kutafuta wanasheria wazuri ili kuhakikisha serikali inabeba jukumu hilo na si vinginevyo...
 
tunashukuru wadau mfano huyu mwandishi kaacha mjane na watoto wa 4 nani wa kuwasomesha. mimi nashauri kama kuna watu wenye upeo wapeleke hii mada kule chadema tuko radhi kuchangia kidogo kidogo ila iwe special fund kwa wahanga maana naona vifo vingi vyaja mbeleni
 
Kitachotakiwa kufuata Sheria Za nchi, mkiambiwa subirini Sensa iishe ndio muondelee na Maandamano heshimuni hakuna atakayedhurika,, ila mkiendelea kuvunja sheria Mtakufa tu na hao wanaowaambia muandamane hamtawaona mda wa Madhara yanapotokea kuanzisha mfuko mnawatengenezea watu ulaji Bahati mbaya uongozi wa chama hauna tofauti na uongozi wa Ukoo.....
Wanaweza kufanyia maamuz fedha zenu kwenye kikao cha ukoooo
 
Back
Top Bottom